-
Mgombea urais wa Uturuki: Nikishinda uchaguzi tutajitoa katika shirika la kijeshi la NATO
Mar 24, 2023 06:30Dogu Princek, kiongozi wa Chama cha Kizalendo (Patriotic Party) na mgombea urais wa Uturuki kwa tiketi ya chama hicho ametoa ahadi kwamba, ikiwa atashinda uchaguzi huo, nchi hiyo itajitoa katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.
-
Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine
Jan 20, 2023 09:01Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa muungano wa kijeshi wa NATO uko vitani na nchi hiyo kupitia Ukraine. Ameongeza kuwa: "Kinachotokea Ukraine ni matokeo ya maandalizi ya Marekani ya vita vya mseto dhidi ya Russia." Ameisitiza kuwa Umoja wa Ulaya umepoteza uhuru wake na sasa uko chini ya satwa ya Marekani moja kwa moja.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 03:54Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 05:45Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo
Dec 01, 2022 07:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)
-
NATO: Ulaya inakabiliwa na 'wakati mgumu' kwa kuipa himaya Ukraine
Nov 28, 2022 03:23Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amekiri kuwa, kuiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Russia kumezipelekea nchi za Ulaya kukumbwa na matatizo mengi ukiwemo mfumko wa bei.
-
Stoltenberg: Hakuna ishara Russia inapanga kuishambulia NATO
Nov 17, 2022 03:40Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa Russia inapanga kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi za NATO.
-
Madai ya shambulio la kombora la Russia dhidi ya Poland: Njama za kuzusha mgogoro mpya wa Magharibi dhidi ya Moscow
Nov 16, 2022 22:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetangaza kuwa: "Siku ya Jumanne alasiri, kombora la jeshi la Russia lilipiga kijiji cha "Przewodów" mashariki mwa Poland kilichoko umbali wa kilomita sita kutoka kwenye mpaka wa Ukraine, na kuua Wapoland wawili."
-
NATO yashambuliwa mitandaoni baada ya kuripotiwa kuua raia laki 5 Libya 2011
Oct 18, 2022 06:59Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limevunja kimya na kutoa taarifa ya kujitenga na ripoti iliyochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari na kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa vikosi vya taasisi hiyo viliua malaki ya raia nchini Libya mwaka 2011.
-
Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani
Oct 13, 2022 23:15Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, jeshi la nchi za Magharibi NATO linaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingi duniani kinyume cha sheria.