Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Maandamano makubwa ya kupinga sera zilizofeli za Benjamin Netanyahu

    Maandamano makubwa ya kupinga sera zilizofeli za Benjamin Netanyahu

    Aug 03, 2026 02:40

    Wakazi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel wamefanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali wakipinga sera za serikali ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambazo wamezitaja kuwa zimeshindwa.

  • Karibu nusu ya Wamarekani wanataka Netanyahu akamatwe licha ya propaganda za mamilioni ya dola

    Karibu nusu ya Wamarekani wanataka Netanyahu akamatwe licha ya propaganda za mamilioni ya dola

    Jul 31, 2026 03:31

    Karibu nusu ya Wamarekani wanataka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe licha ya propaganda zinazofanywa na utawala huo wa kizayuni ambazo zimeugharimu mamilioni ya dola.

  • Karibu nusu ya Wamarekani wanataka Netanyahu akamatwe licha ya propaganda za mamilioni ya dola

    Karibu nusu ya Wamarekani wanataka Netanyahu akamatwe licha ya propaganda za mamilioni ya dola

    Jul 30, 2026 10:18

    Karibu nusu ya Wamarekani wanataka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akamatwe licha ya propaganda zinazofanywa na utawala huo wa kizayuni ambazo zimeugharimu mamilioni ya dola.

  • Watetezi wa Palestina wakusanyika nje ya White House kupinga safari ya Netanyahu

    Watetezi wa Palestina wakusanyika nje ya White House kupinga safari ya Netanyahu

    Jul 28, 2026 13:59

    Waandamanaji wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya Ikulu ya White House jana Jumatatu kupinga ziara ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu huko Washington kabla ya mkutano wake aliopangiwa kufanya na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Trump amwambia Netanyahu katika malumbano makali ya simu:

    Trump amwambia Netanyahu katika malumbano makali ya simu: "Wayahudi wote wamekuchoka"

    Jun 26, 2026 11:16

    Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua malumbano makali ya simu baina ya Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel ambapo Donald Trump amemkemea Benjamin Netanyahu, akimwambia: "Wayahudi wote wamekuchoka," huku Marekani ikizidisha mashinikizo kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusu Ukanda wa Gaza.

  • Hitilafu zapamba moto baina ya Trump na Netanyahu kuhusu mashambulizi dhidi ya Lebanon

    Hitilafu zapamba moto baina ya Trump na Netanyahu kuhusu mashambulizi dhidi ya Lebanon

    Jun 18, 2026 12:10

    Rais wa Marekani, Donald Trump amekosoa mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon, na kukiri kwamba kuna hitilafu kati yake na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu suala la Lebanon.

  • Washington Post: Israel imetengwa duniani kutokana na vita vya mara kwa mara vya Netanyahu

    Washington Post: Israel imetengwa duniani kutokana na vita vya mara kwa mara vya Netanyahu

    May 29, 2026 02:57

    Gazeti la Washington Post limeandika kuwa: Vita vya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen vimeiweka Israel katika njia ya mmomonyoko wa kijeshi, kushindwa kimkakati na kutengwa kimataifa.

  • Uungaji Mkono wa Ulaya kwa Jinai za Israel Umekuwa na Matokeo Gani?

    Uungaji Mkono wa Ulaya kwa Jinai za Israel Umekuwa na Matokeo Gani?

    May 04, 2026 12:37

    Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametoa indhari kali akisema, nchi za Ulaya zinazizoesha jamii zao sera za kikatili za Israel, yakiwa ni matokeo ya kuendeleza uhusiano na ushirikiano wa kijeshi na kibiashara na utawala huo wa kizayuni licha ya kuwa unakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya kimbari katika mahakama za kimataifa.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jina la Netanyahu ni

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jina la Netanyahu ni "Shetani" kwa wengi duniani

    Apr 30, 2026 10:14

    Chombo cha habari cha Kizayuni kimechambua kuporomoka kwa nafasi ya utawala wa Israel duniani na kubadilika fikra za umma kuhusu utawala huo.

  • Mwandishi wa Kiyahudi Mpinga Uzayuni: Netanyahu ni saratani

    Mwandishi wa Kiyahudi Mpinga Uzayuni: Netanyahu ni saratani

    Apr 25, 2026 11:08

    Alon Mizrahi, mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayepinga Uzayuni, ameandika katika ujumbe wake ulioashiria taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu uvimbe wa saratani wa Benjamin Netanyahu kwamba: “Je, saratani yenyewe inaweza kuwa na saratani?”

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS