-
Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe
Jan 31, 2024 12:12Moja ya sababu za kushindwa Israel kufikia malengo yaliyokusudiwa katika vita vya Gaza ni kupanuka hitilafu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Rais Erdogan wa Uturuki: Hakuna tofauti kati ya Hitler na Netanyahu
Dec 28, 2023 06:45Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, "hakuna tofauti" kati ya kile waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anakifanya katika mashambulizi ya miezi kadhaa sasa huko Gaza na kile kiongozi wa Nazi Adolf Hitler alikifanya miongo kadhaa iliyopita.
-
Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni
Nov 05, 2023 06:52Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.
-
Abu Ubaida: Netanyahu atakabiliwa na kipigo kikubwa kuliko kile anachohofia huko Gaza
Oct 30, 2023 02:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imemuonya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuhusu mipango yoyote ya kupanua mashambulizi ya nchi kavu ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza baada ya zaidi ya wiki tatu za mashambulizi mtawalia ya mabomu na ndege za kivita za utawala huo katika eneo hilo lililo chini ya mzingiro.
-
Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina
Oct 21, 2023 06:16Moja ya matunda muhimu yaliyopatikana kutokana na jinai za kinyama na za kutisha zilizofanywa, na zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kujitokeza msimamo na mwafaka wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu katika kuiunga mkono Palestina.
-
Hatimaye Netanyahu amdhibiti Biden
Oct 21, 2023 02:24Biden ambaye awali alijiepusha kumwalika Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa kibaguzi wa Israel katika Ikulu ya White House, ameshawishika kukubali hila za Netanyahu, ambapo amesimamisha shughuli zake zote huko Marekani na kuamua kumtembelea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika kilele cha uzee wake.
-
Kwa mara ya tatu, marubani wa Israel wakataa kuendesha ndege itakayombeba Netanyahu
Sep 09, 2023 02:28Kwa mara ya tatu, marubani wa shirika kubwa zaidi la ndege la utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa hawataendesha ndege itakayompeleka Benjamin Netanyahu New York kulalamikia mageuzi ya mahakama yaliyofanywa na waziri mkuu huyo wa utawala huo haramu.
-
Kuibuka hitilafu mpya ndani ya baraza la mawaziri la Netanyahu kuhusu suala la usalama
Aug 13, 2023 02:30Hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu kuhusu suala la usalama zimeongezeka ambapo mawaziri wa baraza hilo wanahitilafiana waziwazi kuhusu jambo hilo.
-
Wazayuni wakaribia kutumbukia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe
Jul 21, 2023 02:36Mkuu wa zamani wa shirika la usalama wa ndani la utawala wa Kizayuni ameshindwa kuficha hofu yake kubwa kuhusu mustakbali wa kiza wa Israel na mabadiliko ya sheria yanayopiganishwa na Benjamin Natanyahu akisema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanza kuingia kwenye vita vikubwa vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni
Mar 28, 2023 07:29Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.