-
Netanyahu afanikiwa kuwatoroka waandamanaji kwa msaada wa polisi ya Uingereza
Mar 26, 2023 07:35Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amefanikiwa kuwatoroka waandamanaji mjini London, Uingereza kwa msaada wa polisi ya mji huo.
-
Netanyahu akaribishwa UK kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Mar 25, 2023 08:06Mamia ya waungaji mkono wa Palestina na wapinzani wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano mjini London, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu nchini Uingereza.
-
Marubani wa Israel wakataa kumpeleka Netanyahu Uingereza
Mar 24, 2023 07:05Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelazimika kuakhirisha safari yake ya kuitembelea Uingereza, baada ya marubani kadhaa wa utawala huo kukataa kumsafirisha kwa ndege katika nchi hiyo ya Ulaya mtawala huyo mwenye misimamo mikali.
-
Ubaguzi wa rangi wa baraza la mawaziri la Netanyahu na hasira ya serikali ya Jordan
Mar 24, 2023 02:20Matamshi ya karibuni ya mmoja wa mawaziri wa baraza lenye misimamo ya kupindukia mipaka la Benhamini Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yameikasirisha serikali ya Jordan. Misimamo mikali na ya ubaguzi wa rangi ya baraza hilo hadi sasa imeugharimu pakubwa utawala huo kieneo na kimataifa.
-
Vikosi maalumu vya Israel: Hatutahudumu katika jeshi kuanzia Jumapili
Mar 17, 2023 06:54Maafisa 100 wa Kikosi cha Akiba cha Oparesheni Maalumu cha utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa, hawatahudumu jeshini kuanzia Jumapili ijayo wakilalamikia uamuzi wa serikali ya utawala huo wa kubadili muundo wa sheria za mahakama.
-
Raia wa Italia akataa kumfanyia Netanyahu kazi ya ukalimani
Mar 10, 2023 07:13Mkalimani wa Kitaliano amekataa katakata kumfanyia kazi ya tarjumu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, na kumtaja mwanasiasa huyo kama mtu hatari.
-
Wataalamu: Netanyahu 'hana ubavu' wa kukabiliana na wanamapambano wa Palestina
Feb 23, 2023 10:08Wataalamu mbalimbali wa kijeshi wa Israel wametoa maneno makali ya kumlaumu waziri mkuu mwenye misimamo ya kufurutu ada, Benjamin Netanyahu na kusema kuwa, hana uwezo wa kukabiliana na mashambulio ya makombora ya wanamapambano wa Palestina.
-
Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni
Jan 29, 2023 02:35Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Jan 22, 2023 07:42Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.
-
Kushadidi kukosolewa baraza la mawaziri lenye utata la Netanyahu
Jan 12, 2023 04:02Katika kipindi cha chini ya wiki mbili tokea lianze kazi baraza la mawaziri la serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu, ukosoaji dhidi ya baraza hilo umeshadidi kwa kiasi kikubwa na hata baadhi wameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita vya wenyewe kwa wenyewe katika utawala huo.