-
Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha
Jan 01, 2023 07:24Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote.
-
Qatar yalaani mpango wa Netanyahu wa kupanua vitongozi wa walowezi wa Kizayuni
Dec 31, 2022 07:31Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kuanza kazi baraza la mawaziri la sita la Netanyahu katika mazingira ya mivutano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Dec 31, 2022 02:11Benjamini Netanyahu amepata kura ya kuwa na imani naye kwenye Knesset, bunge la utawala haramu wa Israel, na hivyo kupata fursa nyingine ya kuongoza baraza la mawaziri la utawala huo.
-
Baraza jipya la mawaziri la Netanyahu na changamoto zilizopo
Dec 24, 2022 05:54Benjamin Netanyahu alitangaza katika dakika za mwisho za muda wake wa mwisho kisheria wa kutangaza serikali kwamba alikuwa amefanikiwa kuunda baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel.
-
Trump: "Laana imshukie Netanyahu, kama si mimi nadhani Israel ingetokomezwa"
Dec 10, 2021 13:07Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameeleza katika sehemu ya kumbukumbu zake kwamba licha ya huduma nyingi alizokuwa akitoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini hatamsamehe Waziri Mkuu wa zamani wa utawala huo kwa kile alichofanya dhidi yake.
-
Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni
Dec 09, 2021 09:49Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu.
-
Kuporomoka nduli wa Israel na kumalizika miaka 12 ya uwaziri mkuu wa Netanyahu
Jun 15, 2021 03:55Hatimaye nduli wa Israel, Benjamin Netanyahu ameporomoka kama walivyoporomoka makatili na nduli wote. Jumapili, Juni 13, 2021 bunge la utawala wa Kizayuni liliitisha kikao na kupasisha baraza jipya la mawaziri la Israel na kumbwaga Benjamin Netanyahu.
-
Netanyahu atupwa nje, Waisraeli washangilia, dunia yapongeza
Jun 14, 2021 08:08Benjamin Netanyahu ametimuliwa madarakani na kufikia tamati utawala wake wa miaka 12 katika utawala wa Kizayuni wa Israel. Hii ni baada ya bunge la utawala huo haramu (Knesset) kupiga kura ya kuidhinisha serikali mpya ya muungano jana Jumapili.
-
Jihad Islami: Kuondolewa Netanyahu madarakani ni miongoni mwa mafanikio ya operesheni ya "Panga la Quds"
Jun 05, 2021 02:31Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa moja kati ya matunda ya opesheni ya "Panga la Quds" ni kuondolewa madarakani Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima
Jun 04, 2021 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria mchakato wa kuondolewa Benjamin Netanyahu katika nafasi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, Netanyahu pia ametupwa katika jaa la taka za historia.