Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Baraza jipya la mawaziri la Netanyahu na changamoto zilizopo

    Baraza jipya la mawaziri la Netanyahu na changamoto zilizopo

    Dec 24, 2022 02:24

    Benjamin Netanyahu alitangaza katika dakika za mwisho za muda wake wa mwisho kisheria wa kutangaza serikali kwamba alikuwa amefanikiwa kuunda baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel.

  • Trump:

    Trump: "Laana imshukie Netanyahu, kama si mimi nadhani Israel ingetokomezwa"

    Dec 10, 2021 09:37

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameeleza katika sehemu ya kumbukumbu zake kwamba licha ya huduma nyingi alizokuwa akitoa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini hatamsamehe Waziri Mkuu wa zamani wa utawala huo kwa kile alichofanya dhidi yake.

  • Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni

    Kuongezeka mpasuko na utesi wa kisiasa katika serikali tete ya utawala wa Kizayuni

    Dec 09, 2021 06:19

    Mamia ya wakati wa Tel-Aviv, makao makuu ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kupinga serikali ya nchi hiyo wakishinikiza kujiuzulu waziri mkuu Naftali Bennett na kutaka arejee madarakani Benjamin Netanyahu.

  • Kuporomoka nduli wa Israel na kumalizika miaka 12 ya uwaziri mkuu wa Netanyahu

    Kuporomoka nduli wa Israel na kumalizika miaka 12 ya uwaziri mkuu wa Netanyahu

    Jun 14, 2021 23:25

    Hatimaye nduli wa Israel, Benjamin Netanyahu ameporomoka kama walivyoporomoka makatili na nduli wote. Jumapili, Juni 13, 2021 bunge la utawala wa Kizayuni liliitisha kikao na kupasisha baraza jipya la mawaziri la Israel na kumbwaga Benjamin Netanyahu.

  • Netanyahu atupwa nje, Waisraeli washangilia, dunia yapongeza

    Netanyahu atupwa nje, Waisraeli washangilia, dunia yapongeza

    Jun 14, 2021 03:38

    Benjamin Netanyahu ametimuliwa madarakani na kufikia tamati utawala wake wa miaka 12 katika utawala wa Kizayuni wa Israel. Hii ni baada ya bunge la utawala huo haramu (Knesset) kupiga kura ya kuidhinisha serikali mpya ya muungano jana Jumapili.

  • Jihad Islami: Kuondolewa Netanyahu madarakani ni miongoni mwa mafanikio ya operesheni ya

    Jihad Islami: Kuondolewa Netanyahu madarakani ni miongoni mwa mafanikio ya operesheni ya "Panga la Quds"

    Jun 04, 2021 22:01

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa moja kati ya matunda ya opesheni ya "Panga la Quds" ni kuondolewa madarakani Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

  • Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima

    Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima

    Jun 04, 2021 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria mchakato wa kuondolewa Benjamin Netanyahu katika nafasi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, Netanyahu pia ametupwa katika jaa la taka za historia.

  • Waziri wa vita wa Israel: Litakuwa ni balaa kama Netanyahu ataunda serikali

    Waziri wa vita wa Israel: Litakuwa ni balaa kama Netanyahu ataunda serikali

    Apr 05, 2021 02:51

    Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema litakuwa ni balaa kama Benjamin Netanyahu ataunda baraza la mawaziri la utawala huo ghasibu.

  • Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel

    Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel

    Mar 29, 2021 00:11

    Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) imefahamika kwamba, kwa mara nyingine tena kambi ya mrengo wa kuliai meibuka na ushindi katika uchaguzi huo.

  • Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah

    Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah

    Mar 14, 2021 23:36

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa amefuta safari yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kuhofu mashambulizi ya makombora ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS