Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Nigeria: Harakati ya Biafra imehusika na mauaji ya watu 55

    Nigeria: Harakati ya Biafra imehusika na mauaji ya watu 55

    Apr 11, 2016 03:28

    Polisi ya Nigeria imedai kuwa harakati ya Biafra ndiyo iliyohusika na mauaji ya hivi karibuni ya watu 55, baada ya kugundua kaburi la umati kusini mashariki mwa nchi.

  • Naibu kinara wa Boko Haram akamatwa

    Naibu kinara wa Boko Haram akamatwa

    Apr 03, 2016 09:12

    Naibu kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria amekamatwa katika oparesheni ya vikosi vya usalama nchini humo.

  • Maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky yafanyika Nigeria

    Maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky yafanyika Nigeria

    Apr 02, 2016 08:22

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano kulalamikia kuendelea kuwekwa korokoroni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Askari wa UN walitumia mbwa kuwanyanyasa kingono watoto CAR

    Askari wa UN walitumia mbwa kuwanyanyasa kingono watoto CAR

    Mar 31, 2016 04:28

    Maafisa wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na unyanyasaji unaofanywa na wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • HRW: Boko Haram iliteka mamia ya wanawake na watoto huko Damasak

    HRW: Boko Haram iliteka mamia ya wanawake na watoto huko Damasak

    Mar 31, 2016 03:41

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti inayoonesha kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram liliwateka mamia ya wanawake na watoto katika mji wa Damasak kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Wapinzani Nger: Tupo tayari kuzungumza na Rais Issoufou

    Wapinzani Nger: Tupo tayari kuzungumza na Rais Issoufou

    Mar 29, 2016 02:30

    Wapinzani nchini Niger wametangaza azma yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Mahamadou Issoufou wa nchi hiyo.

  • Makumi ya magaidi wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Makumi ya magaidi wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Mar 28, 2016 23:52

    Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa nchini Nigeria.

  • Waislamu waandamana Nigeria kupinga kuendelea kuwekwa kizuiziniSheikh Zakzaky

    Waislamu waandamana Nigeria kupinga kuendelea kuwekwa kizuiziniSheikh Zakzaky

    Mar 27, 2016 10:05

    Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano katika miji kadhaa wakipinga kuendelea kuwekwa kizuizini Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).

  • Wawakilishi wa Zakzaky wakataa kuhudhuria mahakamani Nigeria

    Wawakilishi wa Zakzaky wakataa kuhudhuria mahakamani Nigeria

    Mar 24, 2016 03:34

    Timu ya wanasheria wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imechukua uamuzi wa kutohudhuria vikao vya kesi ya kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky baada ya viongozi wa Nigeria kuwazuia wanachama wa timu hiyo kukutana na mteja wao anayeshikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.

  • IHRC: Faili la mauaji ya Zaria limepelekwa ICC

    IHRC: Faili la mauaji ya Zaria limepelekwa ICC

    Mar 22, 2016 23:31

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza imetangaza kuwa faili la mauaji ya Waislamu katika mji wa Zaria nchini Nigeria limewasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague nchini Uholanzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS