-
UN: Usipopatikana msaada wa haraka hali ya kibinadamu itakuwa mbaya zaidi Nigeria
Jun 22, 2022 03:27Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Matthias Schmale amesema zaidi ya watu milioni 4.1 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wanahitaji msaada wa haraka wa chakula katika msimu wa mwambo utakao anza hivi karibuni.
-
Magaidi Nigeria wawaachia huru watu 11 waliowateka katika shambulio dhidi ya treni
Jun 12, 2022 03:25Abiria 11 kati ya 61 waliotekwa nyara na genge la wabeba silaha katika shambulizi la kigaidi lililolenga treni ya abiria jimboni Kaduna, Kaskazini Magharibi mwa Nigeria wameachiwa huru.
-
Abdollahian: Iran haina vizingiti katika kukuza ushirikiano wake na Nigeria
Jun 12, 2022 00:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina vizingiti vyovyote katika njia ya kustawisha uhusiano wake na Nigeria.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 02:57Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Magaidi 800 wa Boko Haram wauawa katika eneo la Ziwa Chad
Jun 10, 2022 22:04Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni za Vikosi vya Pamoja vya Kimataifa (MNJTF) katika eneo la Ziwa Chad, magharibi mwa Afrika.
-
Iran yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua makumi Nigeria
Jun 07, 2022 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kanisani huko Nigeria hivi karibuni, sanjari na kutoa mkono wa pole kwa serikali ya Abuja na familia za raia wa nchi hiyo ambao waliuawa katika hujuma hiyo.
-
Watu 50 wauawa katika hujuma kanisani Nigeria, Rais Buhari alaani ukatili huo
Jun 06, 2022 03:21Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja la kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
-
Watu 8 wameaga dunia baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka Lagos, Nigeria
May 03, 2022 00:13Watu wasiopungua 8 wamepoteza maisha baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka katika jimbo la Lagos nchini Nigeria.
-
Zaidi ya 100 waaga dunia katika mripuko kwenye kiwanda cha mafuta Nigeria
Apr 24, 2022 03:31Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha katika mripuko uliotokea katika kiwanda kimoja cha kusafisha mafuta ghafi kusini mwa Nigeria.
-
Benki ya Dunia: Idadi ya maskini nchini Nigeria kupindukia milioni 95
Apr 15, 2022 21:55Benki ya Dunia imetahadharisha kuwa, idadi ya watu wanaosumbuliwa na umaskini na ukata wa kupindukia nchini Nigeria itaongezeka na kufikia watu milioni 95.1 mwaka huu 2022.