-
Waislamu watatu wauliwa shahidi kaskazini mwa Nigeria katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Aug 30, 2020 03:25Waislamu watatu wameuliwa shahidi katika mji wa Kaduna kaskazini mwa Nigeria katika shambulio lililofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya washiriki wa maombolezo ya Imam Hussein AS.
-
Watu 75 wauawa katika shambulio la usiku mmoja la Boko Haram mashariki ya Nigeria
Aug 27, 2020 06:24Afisa mmoja wa Nigeria amesema, watu 75 wameuliwa katika usiku mmoja baada ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Boko Haram kushambulia eneo la Gwoza katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Harakati ya IMN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mashambulizi dhidi ya waomboleza wa Muharram, Nigeria
Aug 26, 2020 03:45Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu shambulizi lililofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu waliokuwa katika shughuli ya kidini ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika jimbo la Kaduna.
-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu wakimuomboleza Imam Hussein AS
Aug 23, 2020 03:29Wanajeshi wa Nigeria wamewashambulia Waislamu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombolezo ya Muharram ya Imam Hussein AS, katika jimbo la Kaduna.
-
Nigeria yatishia kuwapiga marufuhu raia wa nchi zinazowazuia Wanigeria kuingia
Aug 22, 2020 03:12Serikali ya Nigeria imetishia kuwapiga marufuku kuingia nchini humo raia wa nchi ambazo zinawazuia Wanigeria kuingia katika nchi hizo kutokana na janga la corona. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa usafiri wa anga wa Nigeria, Hadi Sirika.
-
Genge la kigadi la ISWAP lashikilia mateka mamia ya watu kaskazini mwa Nigeria
Aug 20, 2020 02:31Magaidi wa genge linalojiita Dola la Kiislamu la Mkoa wa Afrika Magharibi (The Islamic State West Africa Province) kwa kifupi ISWAP wanawashikilia mateka mamia ya raia wa mji wa Kukawa ulioko katika jimbo Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana Abuja wakitaka kuachiliwa huru kiongozi wao
Aug 13, 2020 03:41Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.
-
Mafuriko yaua makumi ya watu na wengine wapoteza makazi Abuja, Nigeria
Aug 02, 2020 06:29Mafuriko makubwa yaliyotokea katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Nigeria, Abuja na mji mwingine wa nchi hiyo, yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 30.
-
UN: Raia milioni 1.8 waliopoteza makazi yao Nigeria wanahitaji ulinzi
Jul 30, 2020 06:13Umoja wa Mataifa umebainisha wasi wasi wake kuhusu usalama wa watu milioni 1.8 waliopoteza makazi yao nchini Nigeria huku ukosefu wa usalama ukiongezeka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauawa katika hujuma kaskazini mwa nchi
Jul 20, 2020 03:38Magenge ya wabeba silaha wameua wanajeshi wasiopungua 23 nchini Nigeria katika kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.