-
Askari 10 wa Nigeria wauawa katika mashambulizi ya kigaidi
Jul 14, 2020 03:29Duru za kiusalama nchini Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa wanajeshi kumi wa nchi hiyo katika mashambulizi mawili tofauti ya kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Wanajeshi 35 wa Nigeria wauawa katika shambulio la kundi la Boko Haram
Jul 10, 2020 07:17Maafisa usalama nchini Nigeria wametangaza kuwa, idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo waliouawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram katika mji wa Maiduguri wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo imeongezeka na kufikia 35.
-
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauawa katika shambulio la Boko Haram
Jul 09, 2020 03:09Maafisa usalama nchini Nigeria wametangaza kuwa, wanajeshi 23 wa nchi hiyo wameuawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram katika mji wa Maiduguri wa kaskazini madhariki mwa nchi hiyo.
-
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana tena wakitaka kuachiwa huru kiongozi wao
Jul 08, 2020 03:45Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja wakitangaza uungaji mkono wao kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa harakati hiyo ambaye anaendelea kushikiliwa kizuizini licha ya hali yake mbaya ya afya.
-
Jeshi la Nigeria liliua wanachama 75 wa Boko Haram mwezi Juni
Jul 05, 2020 22:59Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa wanachama 75 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni 17 zilizofanyika baina ya Juni Mosi na Juni 30 mwaka huu.
-
Makumi ya wapiganaji wa Boko Haram wauliwa katika shambulizi la jeshi, Nigeria
Jun 27, 2020 22:07Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa katika shambulizi lililofanywa na jeshi la taifa la Nigeria dhidi ya ngome za kundi hilo huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria lashambulia ngome muhimu ya Boko Haram, laua kadhaa
Jun 20, 2020 02:56Kituo cha Kamandi ya kuendeshea operesheni za kundi la kigaidi la Boko Haram kimeharibiwa na kusambaratishwa kikamilifu katika mashambulizi kadhaa ya anga yaliyofanywa na jeshi la Nigeria, huko kaskazini mwa nchi.
-
Watu 10 wauawa katika shambulizi la silaha nchini Nigeria
Jun 16, 2020 03:42Kwa akali watu 10 wamepoteza maisha baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia vijiji katika jimbo la Benue, kaskazini mwa Nigeria.
-
Raia 40, wanajeshi 20 wauawa katika hujuma nchini Nigeria
Jun 14, 2020 02:34Raia zaidi ya 40 na wanajeshi wasiopungua 20 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 69 wauawa na wanagambo wa Boko Haram Nigeria
Jun 10, 2020 03:31Watu 69 wameauwa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.