-
Nigeria yalegeza sheria za kudhibiti corona, yafungua misikiti
Jun 06, 2020 03:32Nigeria imeanza kuondoa zuio na kulegeza sheria kali ilizokuwa imeweka kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Covid-19 ulioua mamia ya watu nchi humo.
-
Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, Nigeria
Jun 02, 2020 23:26Miji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.
-
Genge la wabeba silaha laua 18 Nigeria, laiba maelfu ya mifugo
Jun 01, 2020 05:52Genge la watu waliojizatiti kwa silaha limeshambulia kijiji kimoja huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu 18 mbali na kuiba maelfu ya mifugo ya wakazi wa kijiji hicho.
-
Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwa
May 29, 2020 23:12Jeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Washambuliaji wapanda-pikipiki wenye silaha waua watu 60 kaskazini mwa Nigeria
May 29, 2020 06:49Watu 60 Wameuawa na wengine wengi wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na kundi la wapanda pikipiki wenye silaha kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza makumi ya magaidi kaskazini mwa nchi
May 24, 2020 06:50Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria amesema wanajeshi wa nchi hiyo wamefanikiwa kuua wanachama 135 wa magenge ya kigaidi katika majimbo ya Zamfara na Katsina kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika
May 18, 2020 22:55Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kadhia ya Palestina si tu suala la kidini, bali pia ni suala la kiutu na kiakhlaqi kwa mataifa ya Afrika.
-
Jeshi la Nigeria lawakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram
May 14, 2020 06:38Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Wanamgambo 89 wauawa Nigeria, mateka 5 wanusuriwa
Apr 26, 2020 03:29Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza makumi ya wanamgambo katika operesheni iliyofanyika katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Nigeria: Watu 47 wauawa na 'majambazi' katika jimbo la Katsina
Apr 20, 2020 07:19Vyombo vya usalama nchini Nigeria vimetangaza kuwa, kwa akali watu 47 wameuawa katika shambulio la majambazi wenye silaha dhidi ya vijiji kadhaa katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.