-
18 wauawa na askari wanaotekeleza sheria za kudhibiti Corona Nigeria
Apr 16, 2020 23:57Kwa akali watu 18 wameuawa na maafisa usalama nchini Nigeria, waliokuwa katika operesheni za kuteleza sheria za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Nigeria yatakiwa kumwachia huru Sheikh Zakzaky wakati huu wa corona
Apr 11, 2020 06:45Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa mwito wa kuachiwa huru kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayekabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya corona akiwa kizuzini.
-
Watu 29 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Apr 04, 2020 03:19Kwa akali watu 29 wameuawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria
Mar 28, 2020 07:40Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa kwa akali wanachama 100 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni dhidi ya ugaidi iliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo.
-
Shambulio la kigaidi laua wanajeshi 70 kaskazini mwa Nigeria
Mar 24, 2020 10:14Askari wasiopungua 70 wa jeshi la Nigeria wameuawa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika jimbo la Borno kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Makamanda na wanachama wa Boko Haram wauawa katika hujuma za anga Nigeria
Mar 20, 2020 08:55Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imethibitisha habari za kuangamizwa makamanda wa ngazi za juu na wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona
Mar 20, 2020 08:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Kenya, Nigeria na Bulgaria juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona unaoendelea kuzisumbua nchi mbali mbali duniani.
-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomba la gesi Lagos Nigeria
Mar 16, 2020 04:37Mlipuko wa bomba la gesi uliotokea katika mji mkuu wa kibiashara wa Lagos nchini Nigeria umepelekea kwa uchache watu 15 kuaga dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
50 wauawa katika shambulio la watu waliobeba silaha Nigeria
Mar 02, 2020 23:53Watu wasiopungua 50 wameuawa baada ya genge la watu waliobeba silaha kushambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria.
-
Kirusi cha corona chazidi kusambaa duniani kwa kutia mguu Magharibi mwa Afrika
Feb 28, 2020 04:49Mtu wa kwanza aliye na kirusi cha corona katika eneo la chini ya jangwa la Sahara Magharibi mwa Afrika amegunduliwa nchini Nigeria.