-
Polisi Nigeria wampiga risasi na kumuua shahidi kijana mdogo kwa sababu ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky
Feb 27, 2020 23:50Askari Polisi wa Nigeria wamemuua shahidi kijana mdogo wa miaka 15 kwa sababu ya kushiriki katika maandamano ya amani ya kuonyesha uungaji mkono kwa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mahakama ya Kaduna yawaondoa hatiani wanachama 91 wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Feb 23, 2020 10:26Mahakama Kuu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria imewafutia tuhuma zilizokuwa zikiwakabili wanachama 91 wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).
-
Lassa yaingia Lagos, idadi ya waliokufa kwa homa hiyo Nigeria yapindikua 100
Feb 20, 2020 23:12Kesi ya kwanza ya mlipuko wa homa ya Lassa imethibitishwa katika mji mkuu wa kibiashara wa Nigeria, Lagos huku idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo nchini humo ikiongezeka.
-
Makundi yenye silaha yaendelea kumwaga damu Nigeria
Feb 18, 2020 04:35Watu waliojizatiti kwa silaha wameshambulia jimbo la Delta kusini mwa Nigeria na kuua watu 10. Mashuhuda wanasema waliotekeleza ukatili huo walikuwa wamevalia magwanda ya kijeshi.
-
Makumi wauawa katika hujuma ya wabeba silaha Nigeria
Feb 16, 2020 00:07Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la watu waliojizatiti kwa silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Radiamali za nchi zilizowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani
Feb 02, 2020 04:04Serikali ya Eritrea imekosoa vikali hatua ya Washington ya kuwawekea vizingiti raia wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika wanaotaka kwenda Marekani ikisisitiza kuwa, vikwazo hivyo vya usafiri havikubaliki.
-
Homa ya Lassa yaua watu 41 nchini Nigeria
Jan 30, 2020 03:41Kituo Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukiza nchini Nigeria (NCDC) kimetangaza habari ya kufariki dunia watu 41 kutokana na kuzuka wimbi jipya la homa ya Lassa nchini humo.
-
Mfuasi wa Sheikh Zakzaky auawa na polisi katika maandamano Abuja
Jan 22, 2020 08:40Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimemuua kwa kumpiga risasi mfuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria katika maandamano ya kulalamikia kuendelea kushikiliwa gerezani kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Tanzania, Nigeria katika nchi zitakazowekewa vikwazo vya usafiri na Marekani
Jan 22, 2020 08:37Marekani ina mpango wa kuziongeza nchi nyingine saba zikiwemo Tanzania na Nigeria kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wanatarajiwa kuwekewa vikwazo na vizingiti vya kuingia nchini humo.
-
Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria
Jan 13, 2020 10:26Nigeria ina historia ya ukandamizaji wa harakati za Kiislamu. Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa harakati za Kiislamu nchini Nigeria vilishadidi zaidi mwaka 2011.