-
Kuzidi kuwa mbaya hali ya Sheikh Zakzaky chini ya mashinikizo ya serikali ya Nigeria
Jan 11, 2020 23:06Katika hali ambayo serikali ya Nigeria inaendeleza mashinikizo yake huku viongozi wa nchi hiyo wakizuia kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo; hali ya kimwili ya mwanazuoni huyo imeripotiwa kuzidi kuwa mbaya.
-
Ripoti: Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yazidi kuwa mbaya
Jan 11, 2020 10:11Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, hali ya kiafya ya kiongozi huyo anayeshikiliwa gerezani imezidi kuwa mbaya.
-
Waasi wa Nigeria waua wanajeshi 20 na kufanya uharibifu mkubwa
Jan 09, 2020 04:33Askari wasiopungua 20 wa jeshi la Nigeria wameuawa na watu wengine karibu elfu moja wamelazimika kukimbia makazi yao baada ya waasi kushambulia mji mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria
Jan 07, 2020 04:36Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Ripoti ya X-Ray: Kuna vipande 43 vya mabaki ya risasi kwenye mwili wa Zakzaky
Dec 28, 2019 08:54Huku tahadhari juu ya hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky zikiendelea kutolewa; duru za hospitali zimefichua kuwa, vipande vya mabaki ya risasi vimekwama kwenye mwili wa mwahanarakati huyo wa Kiislamu.
-
Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria
Dec 28, 2019 04:19Wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamesambaza mkanda wa video unaoonyesha mauaji ya watu 11 ndani ya Krismasi.
-
Umoja wa Mataifa walaani jinai na ukatili wa magaidi nchini Nigeria
Dec 25, 2019 09:11Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani vitendo vya ukatili na jinai zinazofanywa na makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Nigeria iliyoko magharibi mwa Afrika.
-
30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria
Dec 20, 2019 23:14Kwa akali watu 12 wameuawa kwenye mapigano baina ya makabila mawili katika jimbo la Cross River kusini mwa Nigeria mpakani na Cameroon.
-
Taarifa ya Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran kuhusu Sheikh Zakzaky
Dec 20, 2019 08:17Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran limetoa taarifa likitaka wakuu wa sera za kigeni katika nchi za Kiislamu wafuatilie kadhia ya kufungwa jela kinyume cha sheria Allamah Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kuhakikisha anatendewa haki.
-
Meli kubwa ya mafuta ya India yatekwa nyara na maharamia katika maji ya Nigeria
Dec 17, 2019 03:54Makumi ya Wahudumu wa meli ya mafuta ya India wametekwa nyara katika maji ya pwani mwa Nigeria.