-
Mufti wa Oman asisitiza udharura wa kuungwa mkono Wapalestina ili kuzuia hujuma za Wazayuni
Apr 06, 2023 22:51Mufti wa Oman ametoa amepinga vikali hujuma zinazoendelea kufanywa na Wazayuni dhidi ya raia wa Palestina katika Msikiti Mtukufu wa al Aqsa na ametaoa wito wa kuungwa mkono Palestina.
-
Hussein Amir-Abdolllahian: Oman ni jirani na rafiki wa kuaminika wa Iran
Mar 31, 2023 08:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Oman ni jirani na rafiki wa kuaminika wa Iran na kwamba, mashirikiano baina ya mataifa haya mawili yataongezeka na kuimarika zaidi.
-
Iran na Oman zajadili kuondolewa vikwazo Tehran
Mar 25, 2023 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amezungumza na mwenzake wa Oman, Badr Albusaidi kwa njia ya simu, na wawili hao wamejadili kuhusu hali ya sasa ya mazungumzo ya kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vya kidhalimu.
-
Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 18, 2023 00:37Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Oman yaruhusu ndege za Israel zitumie anga yake
Feb 23, 2023 23:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amedai kuwa, Oman imeidhinisha ndege za utawala huo haramu kuruka katika anga ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Gazeti la Oman: Wakati umewadia wa nchi za Kiarabu kurejea Syria
Feb 21, 2023 07:25Kufuatia safari ya Rais Bashar al Assad wa Syria nchini Oman na mazungumzo aliyofanya mjini Muscat na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo gazeti moja la nchi hiyo limeandika kuwa wakati umewadia kwa nchi za Kiarabu kurudi Syria na kuanzisha tena uhusiano wa kawaida na nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sultan wa Oman ahimiza ushirikiano zaidi, biashara baina ya Iran na Oman yaongezeka mno
Feb 13, 2023 04:01Sultan Haitham bin Tariq al Said wa Oman amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuhimiza ushirikiano zaidi baina ya Tehran na Muscat.
-
Hamas yaipongeza Oman kwa msimamo wake wa kususiwa utawala wa Kizayuni
Dec 31, 2022 04:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesifu na kupongeza msimamo wa Bunge la Oman katika fremu ya kushadidisha kususiwa utawala haramu wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Oman
Dec 29, 2022 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Iran imeacha wazi dirisha ili kufikia mapatano lakini dirisha hilo halitasalia wazi siku zote. Amesema Iran inakaribisha na kuunga mkono ubinifu wa Mfalme wa Oman ili kufanyika ufatiliaji kwa lengo la kufikia mapatano mazuri, imara na endelevu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Oman
Dec 28, 2022 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana katika nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ofisi ya Mfalme wa Oman, wakajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yenye maslahi kwa pande mbili.