-
Pakistan yamkamata mtuhumiwa wa pili baada ya mwanamke kubakwa na genge la watu
Oct 13, 2020 22:54Mshukiwa wa pili amewekwa kizuizini nchini Pakistan baada ya kukamatwa na polisi kufuatia ubakaji wa genge la watu dhidi ya mwanamke mmoja ambao umeibua maandamano kote nchini humo.
-
Wanajeshi wa India na Pakistan wafyatuliana tena risasi kwenye mpaka wa eneo la Kashmir
Sep 27, 2020 10:28Askari mmoja wa Pakistan ameuawa katika mapigano mapya ya mpakani yaliyozuka katika eneo la Kashmir kati ya wanajeshi wa nchi hiyo na India.
-
Khan aiambia UN: Serikali ya India inaunga mkono chuki dhidi ya Uislamu
Sep 26, 2020 09:06Waziri Mkuu wa Pakistan amesema serikali ya Kihindu ya India inaunga mkono na kuchochea chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Maandamano ya kulaani kudhalilishwa Mtume Mtukufu (saw) yafanyika Kashmir
Sep 03, 2020 22:17Makumi ya wakazi wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Pakistan wamefanya maandamano ya kulaani kitendo cha jarida linalochapishwa nchini Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Pakistan yasikitishwa na Charlie Hebdo kumvunjia tena heshima Mtume SAW
Sep 02, 2020 03:27Pakistan imelaani vikali uamuzi wa jarida linalochapishwa nchini Ufaransa la Charlie Hebdo wa kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Imran Khan: Pakistan kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel
Aug 19, 2020 05:26Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa nchi yake kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel.
-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan wa kuendelea mashambulio ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Aug 04, 2020 22:04Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amekosoa hatua ya Saudi Arabia ya kuendeleza hujuma na mashambulio yake ya kijeshi dhidi ya Yemen.
-
India yazidisha mbinyo na hatua kali za usalama eneo la Kashmir kabla ya kumbukumbu ya Agosti 5
Aug 04, 2020 08:16Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuzidisha hatua kali za usalama kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.
-
Imran Khan akosoa mashambulizi ya Saudia huko Yemen, asema yanayofanyika Kashmir ni sawa na jinai za Manazi wa Ujerumani
Aug 03, 2020 21:02Waziri Mkuu wa Pakistan amekosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya taifa la Yemen.
-
Indhari ya Imran Khan kuhusu mauaji ya Wakashmiri
Jul 13, 2020 05:45Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuhusu mauaji ya Wakashmiri yanayofanywa na wanajeshi wa India.