-
Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video
Feb 11, 2022 23:29Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.
-
Hatua ya "PLO" ya kusimamisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Israel
Feb 11, 2022 23:02Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetangaza kusimamisha kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni wa Israel na ushirikiano wa kiusalama na utawala huo. Baraza Kuu la PLO pia limetangaza kuwa, limesimamisha uratibu wowote wa kiusalama na utawala wa Kizayuni kwa njia mbalimbali.
-
Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina
Feb 11, 2022 03:58Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Jihadul Islami amesisitiza kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel yataendelea katika maeneo yote ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS: Tutalipa kisasi cha kuuawa shahidi vijana 3 wa Kipalestina
Feb 10, 2022 23:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema mrengo wa muqawama utalipiza kisasi cha damu za vijana watatu wa Kipalestina waliouawa shahidi hivi karibuni na jeshi katili la utawala haramu wa Israel.
-
Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus
Feb 10, 2022 23:00Katika hali ambayo wakazi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameamua kufanya mgomo kama jibu lao kwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana watatu wa Kipalestina, maafisa wa utawala huo wametamka wazi kuwa Israel iko huru kufanya oparesheni yoyote ya mauaji.
-
Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asisitiza umoja wa Wapalestina
Feb 09, 2022 01:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."
-
Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli
Feb 07, 2022 23:19Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.
-
Jumapili tarehe 6 Februari 2022
Feb 05, 2022 23:06Leo ni Jumapili tarehe 4 Rajab 1443 Hijria sawa na tarehe 6 Februari 2022.
-
Wapalestina wautaka Umoja wa Afrika kuifukuza Israel katika umoja huo
Feb 05, 2022 10:47Viongozi na makundi ya ukombozi wa Palestina wameutaka Umoja wa Afrika (AU) kufikiria upya uamuzi wa mwaka jana wa kuipa Israel hadhi ya kuwa mwangalizi katika umoja huo.
-
Hamas yamshukuru mcheza tenisi Mkuwaiti aliyekataa kucheza na Mzayuni
Jan 29, 2022 06:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tenisi wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.