-
Wapalestina waandamana kulaani ushirikiano wa kiusalama kati ya Mamalaka ya Ndani na Israel
Aug 26, 2021 22:06Umati mkubwa wa Wapalestina umeandamana katika mji wa Ramallah ulioko kwenye Ufukwe wa Magharibi mwa Mto Jordan kulaani ushirikiano wa kiusalama uliopo kati ya serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama
Aug 22, 2021 23:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.
-
"Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"
Aug 18, 2021 08:23Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.
-
Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi
Aug 16, 2021 03:10Askari wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi vijana wanne Wapalestina kwa kuwapiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ijumaa ,13 Agosti, 2021
Aug 12, 2021 21:50Leo ni Ijumaa tarehe 4 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 13 mwaka 2021.
-
UN yataka kusitishwa jinai za Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina
Aug 12, 2021 08:22Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina.
-
Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco
Aug 11, 2021 22:51Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Saudia imeivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah kwa kuzuia kufanyika Hija
Aug 09, 2021 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uungaji mkono kwa Palestina utaendelea hadi kukombolewa Quds
Aug 09, 2021 07:36Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, taifa hili litaendelea kuunga mkono mapambano ya taifa la Palestina na mhimili wa muqawama hadi Quds tukufu itakapombolewa.
-
Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama
Aug 09, 2021 03:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo roho na moyo wa mrengo wa muqawama wa Kiislamu.