-
Harakati za ukombozi Palestina zailaani Imarati kwa kufungua ubalozi Tel Aviv
Jul 15, 2021 06:56Harakati za ukombozi wa Palestina zimeilaani nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kufungua ubalozi huko Tel Aviv, wiki chache tu baada ya Israeli kuuwa zaidi ya Wapalestina 255 katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
-
Jumatano tarehe 14 Julai 2021
Jul 13, 2021 23:35Leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Julai mwaka 2021.
-
Askari wa Kizayuni wawafyatulia risasi na kuwajeruhi mamia ya Wapalestina
Jul 10, 2021 07:48Askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewafyatulia risasi na kuwajeruhi mamia ya Wapalestina waliokuwa wakiandamana kulalamikia ujenzi haramu wa kituo cha jeshi hilo ghasibu katika eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Umoja wa Mataifa waitaka Israel iache kubomoa nyumba za Wapalestina
Jul 10, 2021 03:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala ghasibu wa Israel usitishe hatua zake za kubomoa nyumba na makazi ya wananchi wa Palestina
-
Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina
Jul 09, 2021 02:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesema kuwa taifa la Palestina linataka amani na kwamba jambo hilo halitatimia bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Alkhamisi tarehe 8 Julai 2021
Jul 07, 2021 23:47Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Dhulqaada 1442 Hijria sawa na 8 Julai mwaka 2021.
-
Nasrullah: Daesh ilianzishwa ili kuwasahaulisha Waislamu kadhia ya Palestina
Jul 05, 2021 22:38Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa moja kati ya malengo ya kuanzishwa kundi la kigaidi la Daesh ni kuwasahaulisha Waislamu kadhia ya ukombozi wa Palestina.
-
Hamas: Vitisho vya Gantz ni kwa ajili ya kuboresha sura ya jeshi la Israel
Jul 05, 2021 22:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kulishambulia tena eneo la Ukanda wa Gaza ni jaribio la kuboresha sura ya jeshi la utawala huo iliyoharibika baada ya kipigo cha karibuni cha wanamapambano wa Kipalestina.
-
Msichana Mpalestina ahukumiwa kifungo miezi 30 jela kwa madai ya kushirikiana na Hizbullah
Jul 05, 2021 02:35Mahakama ya utawala wa Kizayuni imeendeleza dhulma zake za kila siku kwa kumuhukumu msichana mmoja Mpalestina, kifungo cha miezi 30 jela kwa madai ya kuwa na mawasiliano na Hizbullah ya Lebanon.
-
Jihadul Islami: Tunazo nguvu za kuwatimua Wazayuni katika ardhi zote za Palestina
Jul 03, 2021 22:06Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, muqawama wa wananchi wa Palestina una nguvu za kuufurusha kikamilifu utawala wa Kizayuni na walowezi wa Kizayuni katika kila shibri ya ardhi ya Palestina.