Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina

    Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina

    Jan 06, 2021 23:06

    Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze wajibu wake wa kimataifa na kuhakikisha kuwa chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 zinawafikia wananchi wa Palestina.

  • Mateka 15 Wapalestina walioko kwenye gereza la Israel la An-Naqb wameambukizwa corona

    Mateka 15 Wapalestina walioko kwenye gereza la Israel la An-Naqb wameambukizwa corona

    Jan 02, 2021 23:23

    Ofisi ya habari inayoshughulikia masuala ya mateka Wapalestina imetangaza kuwa mateka 15 Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya Kizayuni ya An-Naqb wameambukizwa virusi vya corona.

  • Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel

    Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel

    Jan 01, 2021 09:53

    Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu amemtaka rais mteule wa Marekani Joe Biden kuacha kukingia kifua silaha za nyuklia za Israel na kusitisha ufadhili mkubwa wa Washington kwa miradi ya silaha za nyuklia ya utawala huo.

  • Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020

    Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020

    Jan 01, 2021 09:51

    Kamati ya Masuala ya Matekani wa Palestina imetangaza kuwa, watoto 170 wa Kipalestina walifungwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka 2020.

  • Malengo ya manuva ya pamoja ya makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza

    Malengo ya manuva ya pamoja ya makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza

    Dec 30, 2020 21:01

    Manuva ya pamoja ya makundi 12 ya muqawama chini ya anuani ya " Ar-Ruknu-Shadiid" yaani "Nguzo Imara yalianza juzi Jumanne katika Ukanda wa Ghaza. Hii ni mara ya kwanza ambapo makundi mbalimbali ya muqawama ya Palestina yanafanya manuva ya pamoja katika Ukanda wa Ghaza.

  • Palestina yaliomba Baraza la Usalama la UN liuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel

    Palestina yaliomba Baraza la Usalama la UN liuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 30, 2020 03:38

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametuma barua tofauti kwa viongozi wa umoja huo akitaka jamii ya kimataifa kukabiliana ipasavyo na jinai za utawala wa Kizayuni na kuuadhibu utawala huo kwa hatua yake ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.

  • Kiongozi wa Hamas ataka Saudia iwaachilie huru wafungwa Wapalestina

    Kiongozi wa Hamas ataka Saudia iwaachilie huru wafungwa Wapalestina

    Dec 30, 2020 00:54

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniya, ameitaka Saudi Arabia iwaachilie huru wafungwa wote Wapalestina inaowashikilia akiwamo afisa wa Hamas.

  • Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamemuenzi Shahidi Soleimani

    Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamemuenzi Shahidi Soleimani

    Dec 30, 2020 00:52

    Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wamemuenzi Shahidi Luteni Jeneali Qassem Soleimani mwaka mmoja baada ya kuuawa kwake katika hujuma ya jeshi la kigaidi la Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Hania: Muqawama ndiyo njia bora na pekee ya kukabiliana na kumaliza uvamizi

    Hania: Muqawama ndiyo njia bora na pekee ya kukabiliana na kumaliza uvamizi

    Dec 29, 2020 08:13

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kwa mtazamo wa wananchi wa Palestina, muqawama ndilo chaguo bora kabisa la kupambana na kukomboa kikamilifu ardhi zao.

  • Hamas yasisitizia mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni

    Hamas yasisitizia mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni

    Dec 28, 2020 04:43

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mapambano ya silaha dhidi ya utawala wa Kizayuni ambao ndiye adui mkubwa wa ubinadamu, Waislamu na Wapalestina, ndiyo njia pekee ya kupambana na kumshinda adui huyo mtenda jinai.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS