-
Jihad Islami ya Palestina: Wazayuni wanawaogopa wanamuqawama wa Palestina
Dec 27, 2020 11:57Afisa mwanadamizi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema hujuma za jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza ni ishara ya kuchanganyikiwa wakuu wa utawala huo wa Kizayuni ambao sasa wanaogopa makundi wa wanamuqawama au wanamapambano wa Palestina.
-
Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020
Dec 26, 2020 23:02Utawala wa Kizayuni ni utawala pekee uliolaaniwa na Umoja wa Mataifa mara tatu zaidi ya nchi nyingine zote duniani katika mwaka huu wa 2020. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha jumla ya maazimio 17 dhidi ya Israel katika mwaka huu wa 2020.
-
Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu
Dec 24, 2020 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni sawa na kuwapiga jambia kwa nyuma wananchi wa Palestina na umma wa Kiislamu kwa ujumla.
-
Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Dec 23, 2020 09:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amepinga aina yoyote ya mashinikizo ya nje dhidi ya nchi hiyo kwa ajili ya kujiunga na safau ya nchi zinazoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa: Islamabad katu haitaitambua rasmi Israel.
-
Jumanne, 22 Desemba, 2020
Dec 22, 2020 01:32Leo ni Jumanne tarehe 7 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 22 Desemba 2020 Miladia.
-
Wananchi wa Nigeria waandamana kuiunga mkono Palestina na kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Dec 21, 2020 23:27Wananchi wa Nigeria wameandamana na kutangaza uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina na kupinga harakati za baadhi ya mataifa ya Kiarabu za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yalalamikia kimya cha Baraza la Usalama kuhusu uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi
Dec 20, 2020 23:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuacha kunyamazia kimya uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na badala yake uwajibike kivitendo.
-
Palestina yachaguliwa tena kuwa mwanachama wa kamati ya utendaji ya Mahakama ya ICC
Dec 19, 2020 08:39Palestina kwa mara ya pili mtawalia imechaguliwa katika kikao cha nchi wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC ) kuwa mwanachama wa kamati ya utendaji ya mahakama hiyo.
-
Vyama vya kisiasa Algeria vyakosoa vikali kuanzishwa uhusiano kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni
Dec 14, 2020 23:31Vyama vya kisiasa nchini Algeria vimekosoa vikali hatua ya Morocco ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni pigo la kidhalili kwa mataifa ya Algeria, Palestina na Sahara Magharibi.
-
Hania: Hamas ni nembo ya malengo ya Palestina na kuendelezwa muqawama
Dec 14, 2020 04:26Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kuundwa harakati ya Hamas kwa hakika ni kule kule kuendelezwa njia ya wananchi wa Palestina yaani kupambana kwa muda mrefu na kudumishwa muqawama tangu kujiri mapinduzi ya Shahid Izzudin Qassam.