-
Haniya: Marekani inajaribu kuanzisha njia za mazungumzo na Hamas
Sep 14, 2020 03:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Marekani imefungua njia za kuanzisha mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa harakati hiyo, ili kulishawishi kundi hilo liafiki kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne.'
-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Palestina: Jumanne ijayo ni siku ya upinzani wa kimataifa dhidi ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 13, 2020 22:12Kamati ya Uongozi wa Makundi ya Mapambano ya Ukombozi wa Palestina imeitangaza siku ya Jumanne ijayo kuwa ni siku ya upinzani wa walimwengu dhidi ya hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Machaguo iliyonayo Palestina kwa ajili ya kukabiliana na kuanzishwa uhusiano na Israel
Sep 13, 2020 22:06Baada ya Imarati na Bahrain kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala huo ghasibu unaoikalia Quds tukufu kwa mabavu, suali linaloulizwa hivi sasa ni, hatua gani Palestina inaweza kuchukua kwa ajili ya kukabiliana na mwenendo huo?
-
Jumapili tarehe 13 Septemba 2020
Sep 12, 2020 21:51Leo ni Jumapili tarehe 24 Mfunguo Nne Muharram 1442 Hijria sawa na tarehe 13 Septemba 2020.
-
Jordan: Ufunguo wa amani Asia Magharibi ni kutoghusubiwa ardhi za Wapalestina
Sep 12, 2020 06:57Jordan imesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na kupatikana amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora na kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
"Arab League ni wenzo tu wa nchi za wasaliti"
Sep 10, 2020 07:12Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina imesema kuwa, Jumuiya ya Nchi za Kiarbu (Arab League) ni wenzo tu unaotumiwa na nchi za wasaliti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya kisaliti.
-
Mtifuano wa ana kwa ana kati ya Palestina na asasi za Waarabu kuhusu Makubaliano ya Abraham
Sep 09, 2020 09:06Kikao cha leo cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League kimefanyika wakati msimamo ulioonyeshwa na jumuiya hiyo pamoja na Baraza Kuu la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi GCC, hususan katika siku za karibuni kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umethibitisha kuwa, tajiriba ya uchukuaji maamuzi kitaasisi katika Ulimwengu wa Kiarabu imefeli;
-
Palestina yasisitiza kuvunja uhusiano na nchi zitakazohamishia balozi zao Baitul Muqaddas
Sep 06, 2020 23:05Katibu Mkuu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema, Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina itavunja uhusiano na nchi zitakazo hamishia balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).
-
Harakati ya PFLP yataka kutimuliwa Imarati katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 05, 2020 21:56Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina (PFLP) amesema kuwa, hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel inakinzana na uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu hivyo ametoa wito wa kutimuliwa nchi hiyo sambamba na kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo.