Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mwakilishi wa Palestina UN ataka kufuatiliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Mwakilishi wa Palestina UN ataka kufuatiliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Jun 24, 2020 22:41

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametaka kuchunguzwa na kufuatiliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.

  • Jumatano tarehe 24 Juni, 2020

    Jumatano tarehe 24 Juni, 2020

    Jun 23, 2020 21:57

    Leo ni Jumatano tarehe Pili Mfunguo Pili Dhulqaada 1441 Hijriia sawa na Juni 24 mwaka 2020.

  • Hamas yalaani hatua ya Wazayuni ya kubomoa vituo vya Wapalestina

    Hamas yalaani hatua ya Wazayuni ya kubomoa vituo vya Wapalestina

    Jun 17, 2020 22:22

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kubomoa vituo vya Wapalestina huko Quds inayokaliwa kwa mabavu ni jitihada za utawala huo zinazolenga kubadili utambulisho wa Quds; njama ambazo hazitafikia popote.

  • Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel

    Jun 14, 2020 22:41

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mwito kwa wanazuoni wa Kiislamu kuunda kamati ya uratibu itakayopewa jukumu la kuunda na kutekeleza mpango wa kistratajia wa kuunga mkono kadhia ya Palestina na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Rais Donald Trump wa Marekani zilizopewa jina la "Muamala wa Karne."

  • Nchi nane za Ualaya: Tuko tayari kutambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Nchi nane za Ualaya: Tuko tayari kutambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Jun 12, 2020 05:34

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa nchi 8 za Ulaya zimetangaza kuwa ziko tayari kutambua rasmi nchi huru ya Palestina iwapo Israel itatwaa ardhi zaidi ya Ukingo wa Magharibi.

  • OIC yatahadharisha matokeo mabaya ya mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi

    OIC yatahadharisha matokeo mabaya ya mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi

    Jun 11, 2020 07:35

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetahadharisha juu ya matokeo mabaya ya uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuzipora na kuzikalia kwa mabavu ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kulaani vikali hatua hiyo.

  • Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Iran: Taifa la Palestina halina chaguo jingine ghairi ya muqawama

    Jun 10, 2020 22:58

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya Sheria na Kimataifa amesema wananchi wa Palestina hawana chaguo jingine isipokuwa mapambano na muqawama ili waweze kupata haki zao za msingi na kujiamulia mustakabali wao.

  • Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Jun 10, 2020 03:26

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewatumia barua tofauti wakuu na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu zaidi ya 40 akiwataka kuchukua hatua za harakati kusitisha mpango wa Israel wa kutaka kuyaunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Jun 09, 2020 08:20

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitolea wito nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dhati na kivitendo kuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza mpango wa kutwaa maeneo ya Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan na kuyaunganisha na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kuaga dunia Ramadhan Abdallah; nembo ya Jihadi ya Palestina

    Kuaga dunia Ramadhan Abdallah; nembo ya Jihadi ya Palestina

    Jun 09, 2020 00:23

    Ramadhan Abdallah Shalah, Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 62 kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS