-
Wapalestina waandamana dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi
Jun 08, 2020 23:14Makumi ya Wapalestina wanaoishi katika mji wa Ramallah katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameandamana kupinga mpango wa utawala wa Kizayuni ambao unalenga kuteka ardhi zaidi za Wapalestina katika eneo hilo.
-
Hania aitaka PLO kuchukua uamuzi wa kihistoria kuhusu mapambano dhidi ya Wazayuni
Jun 07, 2020 07:40Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Palestina (Hamas) ameitaka Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) inayoongozwa na Mahmoud Abbas kuchukua uamuzi wa kihistoria na kuungana na makundi na harakati nyingine za kitaifa na Kiislamu za Palestina.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amuomboleza Ramadhan Shalah
Jun 07, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia katibu mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya uchumi wa Palestina wakati wa corona
Jun 01, 2020 05:23Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hatari ya matatizo ya kiuchumi na kuenea kirusi cha corona huko Palestina.
-
Familia: Mpalestina aliyeuawa na jeshi la Israel alikuwa mlemavu
May 31, 2020 06:58Kijana wa Kipalestina aliyeuawa jana Jumamosi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kupigwa risasi katika mji mtakatifu wa Quds alikuwa mlemavu.
-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia
May 27, 2020 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.
-
Israel yawashambulia wasimamishaji swala wa Palestina katika mwaka wa 53 wa kutekwa Masjidul Aqsa
May 25, 2020 01:56Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel wamewashambulia waumini wa Palestina na kuwazuia kusimamisha swala ya Idul Fitr katika Msikiti wa al-Aqsa.
-
Zarif: Natumai ulimwengu wa Kiislamu utapata ushindi dhidi ya maadui
May 24, 2020 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake kuwa ulimwengu wa Kiislamu utaibuka na ushindi dhidi ya maadui.
-
Askari wa Kizayuni washambulia Wapalestina katika Swala ya Idi
May 24, 2020 03:27Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds kwa ajili ya ibada.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds
May 23, 2020 06:00Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.