-
Askofu wa Kanisa Katoliki Lebanon: Mpango wa Muamala wa Karne ni namna fulani ya kutangaza vita
Feb 19, 2020 08:11Kiongozi wa Kanisa Katoliki kusini mwa Lebanon amesema kuwa, mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne unakinzana wazi kabisa na amani na kuishi pamoja na kimsingi ni namna fulani ya kutangaza vita.
-
Utawala wa Kizayuni wajiepusha kuingia tena vitani na wanamuqawama wa Palestina
Feb 18, 2020 10:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa utawala huo umeamua kujiepusha na kujiingiza vitani kwa mara nyingine tena na wanamuqawama wa Palestina.
-
Ujumbe wa jumuiya za Mayahudi watembelea Saudia kwa siri na kufanya mazungumzo katika kasri la Mfalme Salman
Feb 15, 2020 23:20Kanali ya Kwanza ya televisheni ya Israel imetangaza kuwa ujumbe uliojumuisha viongozi wa jumuiya za Kiyahudi za Marekani ulitembelea Saudi Arabia siku za hivi karibuni na kupokewa katika kasri la Mfalme Salman bin Abdul Azizi Aal Saud mjini Riyadh.
-
Saudia yaanzisha wimbi jipya la kuwatia mbaroni Wapalestina
Feb 14, 2020 04:02Utawala wa Aal-Saud umeanzisha wimbi jipya la kuwakamata na kuwazuilia raia wa Palestina wanaoishi Saudi Arabia kwa madai ya kuiunga mkono Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Mousavi: Iran itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga ya Israel
Feb 13, 2020 01:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza uvamizi au hatua yoyote ya kijinga dhidi ya maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria na katika eneo, basi utawala huo utapokea jibu kali ambalo litakuwa la majuto."
-
Rais Abbas kwa Baraza la Usalama: Muamala wa Karne unakiuka maazimio ya UN
Feb 12, 2020 04:10Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa, mbali na mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani uliopewa jina la Muamala wa Karne kukanyaga maazimio ya umoja huo, pia unakiuka mamlaka na uhuru wa kujitawala Palestina.
-
Palestina yaishukuru Iran kutokana na misimamo yake chanya katika kutetea taifa hilo
Feb 11, 2020 04:05Balozi wa Palestina mjini tehran amepongeza misimamo imara na tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu haki za taifa hilo hususan msimamo wake wa kupinga mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump
Feb 08, 2020 23:07Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Ijumaa tarehe 7 Februari 2020
Feb 06, 2020 21:41Leo ni Ijumaa tarehe 12 Jamadithani 1441 Hijria sawa na Februari 7 mwaka 2020.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Marekani: Muqawama, njia pekee ya wananchi wa Palestina
Feb 05, 2020 21:49Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Princeton nchini Marekani amesema kuwa mpango wa Marekani na Wayuni kwa jina la Muamala wa Karne umekiuka haki za kimsingi za wananchi wa Palestina na kwamba njia pekee ya wao kuupinga ni kuendesha mapambano.