-
Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel
Apr 08, 2019 03:27Uturuki imekosoa vikali matamshi wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa iwapo ataibuka mshindi katika uchaguzi mkuu ujao, basi atauunganisha rasmi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo mengine ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu, chini ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".
-
Mfalme wa Jordan: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Apr 06, 2019 10:14Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amesema kuwa, kwa mujibu wa hati na maazimo yote ya kimataifa, milima ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo.
-
Ijumaa, Aprili 5, 2019
Apr 04, 2019 22:13Leo ni Ijumaa tarehe 29 ya mwezi Rajab 1440 Hijria ambayo inalingana na tarehe 5 Aprili 2019 Miladia.
-
Jumatano, 3 Aprili, 2019
Apr 02, 2019 20:46Leo ni Jumatano tarehe 27 Rajab mwaka 1440 Hijria sawa na Aprili 3 mwaka 2019.
-
Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia
Apr 02, 2019 03:01Kuingia madarakani Rais Jair Bolsonaro huko Brazil ambaye alianza kazi yake rasmi mwezi Januari mwaka huu wa 2019 kumepokewa kwa hisia tofauti.
-
Hamas yataka kurejeshwa haki za taifa la Palestina zilizoporwa na Wazayuni
Apr 01, 2019 20:26Dakta Mahmoud al-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, muqawama na mapambano yatawalazimisha wavamizi wa Kizayuni kurejesha haki za Wapalestina walizozipora.
-
Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'
Mar 31, 2019 03:19Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Mamia waandamana London, Uingereza dhidi ya utawala haramu wa Israel
Mar 30, 2019 22:42Mamia ya watu wamejitokeza katika barabara za London, mji mkuu wa Uingereza kushiriki maandamano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu; masharti ya lazima ya ushindi wa Wapalestina
Mar 30, 2019 22:01Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa kwa munasaba wa Siku ya Ardhi Palestina na kusisitiza kuhusu udharura wa kuwepo umoja wa kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu kama masharti yasiyoepukika kwa ajili ya kupatikana ushindi mbele ya njama hatari za maadui.
-
Askari wa Israel waua shahidi Wapalestina wawili katika maandamano Ghaza
Mar 30, 2019 11:20Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati wa maandamano ya amani yaliyoitishwa kwa lengo la kuadhimisha kuanza 'Maandamano Makubwa ya Kurejea' na 'Siku ya Ardhi ya Palestina.'