Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Jumatatu tarehe 4 Februari 2019

    Jumatatu tarehe 4 Februari 2019

    Feb 03, 2019 21:33

    Leo ni Jmatatu tarehe 28 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 4 Februari 2019.

  • Wizara ya Elimu Palestina yaonya kuhusu kubadilishwa muundo wa masomo

    Wizara ya Elimu Palestina yaonya kuhusu kubadilishwa muundo wa masomo

    Feb 02, 2019 22:00

    Wizara ya Elimu ya Juu ya Palestina imeonya kuhusiana na njama yoyote ile inayolenga kubadilishwa muhtawa wa masomo wa Wapalestina.

  • Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu

    Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu

    Feb 02, 2019 01:05

    Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.

  • Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Jeshi la Israel limeua shahidi Wapalestina 11 mwezi mmoja uliopita

    Feb 01, 2019 23:17

    Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina 11 katika mwezi uliopita wa Januari.

  • Kuzinduliwa Ensaiklopidia kubwa kabisa ya historia ya Palestina kutauumbua utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kuzinduliwa Ensaiklopidia kubwa kabisa ya historia ya Palestina kutauumbua utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jan 26, 2019 10:44

    Ensiakolopidia kubwa kabisa kuhusu historia ya Palestina inayoashiria maisha ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya watu wa Palestina kuanzia mwaka 1516 hadi mwaka 2018 imezinduliwa.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 00:35

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

  • Palestina: Hatutaki tena msaada wowote wa Marekani

    Palestina: Hatutaki tena msaada wowote wa Marekani

    Jan 23, 2019 04:12

    Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema Wapalestina hawataki msaada wowote kutoka kwa Marekani, baada ya Washington kutangaza kuwa itapunguza kiwango cha msaada wake wa kibinadamu kwa wananchi wa Palestina.

  • Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria

    Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria

    Jan 22, 2019 04:03

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina zimelaani mashambulizi mapya ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.

  • Palestina yakabidhiwa uenyekiti wa kundi la G77, Marekani yapinga

    Palestina yakabidhiwa uenyekiti wa kundi la G77, Marekani yapinga

    Jan 16, 2019 12:45

    Palestina imekabidhiwa uenyekiti wa kundi la nchi 77 yaani G-77 licha ya Marekani kupinga vikali uamuzi huo.

  • Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina

    Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina

    Jan 12, 2019 04:10

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi kwa kumpiga risasi mwanamke wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS