-
Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza
Jan 11, 2019 23:24Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 05:18Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
HAMAS: Mahmoud Abbas anatekeleza kifungu cha mpango wa Trump wa 'Muamala wa Karne'
Jan 07, 2019 04:18Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa uamuzi wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuwaondoa askari na wafanyakazi wa mamlaka hiyo katika kivuko cha mpakani cha Rafah kwenye mpaka wa pamoja wa kusini mwa Ukanda wa Gaza na Misri.
-
Abbas: Palestina haitaruhusu Marekani iiuzie Israel Quds Tukufu
Jan 01, 2019 04:47Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema Wapalestina katu hawataruhusu Marekani iuuze mji mtukufu wa Quds kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, akisisitiza kuwa mji huo unaokaliwa kwa mabavu ni mji mkuu wa daima wa taifa la Palestina.
-
Nukta za ushindi wa taifa la Palestina kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi
Jan 01, 2019 04:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Palestina itaendelea kuwa taifa lenye nguvu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, katika kipindi si cha mbali sana taifa hilo litaweza kupata ushindi kamili.
-
Shamkhani: Wananchi wa mataifa ya Mashariki ya Kati watazuia lengo la "Muamala wa Karne" lisifikiwe
Dec 30, 2018 23:14Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, makundi ya muqawama na wananchi wa mataifa ya Mashariki ya Kati wenye mwamko hawataruhusu lengo la mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" lifikiwe.
-
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yalalamikia kuendelea kuchimbwa mashimo chini ya Masjid al-Aqswa
Dec 30, 2018 23:13Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa taarifa ikitaka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu uchimbaji mashimbo unaofanywa na Wazayuni chini ya Msikiti wa al-Aqswa na maeneo ya kandokando na msikiti huo.
-
Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuwa pamoja na watu wa Palestina + Video
Dec 30, 2018 03:45"Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuwa bega kwa bega na watu wa Palestina na kuyaunga mkono malengo yao matukufu."
-
Zarif: Iran itaendelea daima kuunga mkono malengo matukufu ya Palestina
Dec 29, 2018 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuwa bega kwa bega na watu wa Palestina na kuyaunga mkono malengo yao matukufu.