-
Utawala wa Kizayuni watoa muhula wa mwisho kwa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar; wawataka waondoke kijijini hapo
Sep 23, 2018 23:28Utawala wa Kizayuni umewapa wakazi wa kijiji cha Khan al Ahmar katika mji wa Quds muda wa siku saba wawe wameondoka kijijini hapo.
-
Hamas: Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kikwazo katika kuboreka hali ya mambo Ghaza
Sep 23, 2018 10:32Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kikwazo kikuu katika kuboreka hali ya mambo ya Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi
Sep 22, 2018 13:14Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwa tayari kufanya mazungumzo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwamba matamshi hayo yanaakisi mtazamo wake binafsi, wala hayawakilishi maoni ya wananchi wa Palestina.
-
Udharura wa kulazimishwa Israel kujiunga na mkataba wa nyuklia wa NPT
Sep 22, 2018 03:58Katika Mkutano Mkuu la 62 la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, kumesisitiziwa wajibu na udharura wa kulazimishwa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Saudia yawapiga marufuku Wapalestina laki 6 kwenda kuhiji
Sep 21, 2018 09:10Utawala wa Aal-Saud umewapiga marufuku Wapalestina laki sita kwenda katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki ibada za Hija na Umra.
-
Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamtaka Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina
Sep 21, 2018 03:16Wabunge 40 wa Kongresi ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina.
-
Wabunge wa Umoja wa Ulaya wataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina
Sep 20, 2018 23:31Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya wamezitaka nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi na haraka iwezekanavyo nchi huru ya Palestina.
-
Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama
Sep 19, 2018 10:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, taifa la Palestina limeazimia kwamba, litasimama kidete kukabiliana na mzingiro wa adui Mzayuni hadi pale litakapousambaratisha.
-
Wapalestina 2 wauawa shahidi kwa kombora la Israel, Gaza
Sep 18, 2018 02:40Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukatili na jinai, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Gaza na kuua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine kadhaa.
-
Marekani yamtimua balozi wa Palestina kutoka Washington
Sep 17, 2018 03:06Baada ya serikali ya Marekani kukata misaada yake kwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), imemtimua balozi wa Palestina kutoka mjini Washington.