-
MOSSAD latajwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kipalestina nchini Malaysia
Apr 22, 2018 03:19Harakati ya Palestina ya Al Mujahidin imesema: mauaji ya kigaidi ya mhandisi Fadi Muhammad al-Batsh ni jinai iliyotendwa na Israel kwa lengo la kuzima fikra ya ubunifu na uvumbuzi wa Kiislamu; hata hivyo Wazayuni wajue kwamba hawatoweza katu kukwamisha ustawi wa harakati ya kielimu na kifikra ya Muqawama.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina
Apr 21, 2018 23:18Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Israel ukomeshe vitendo vyake vya utumiaji mabavu dhidi ya Wapalestina.
-
Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza
Apr 20, 2018 23:40Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Taarifa ya kikao cha "Dhahran" haikukidhi matakwa ya Wapalestina
Apr 18, 2018 11:56Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema misingi thabiti ya taifa la Palestina ambayo ni misingi ya mataifa yote inayojumuisha watu, ardhi, itikadi na matakufu yao imepuuzwa katika taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu kilichofanyika Dhahran, Saudi Arabia.
-
Ujumbe wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu kwa kikao cha wakuu wa Kiarabu huko Saudia
Apr 15, 2018 09:50Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imewatumia ujumbe wakuu wa nchi za Kiarabu ikiwataka waratibu mkakati wa kivitendo kwa ajili ya kufikiwa mapatano makubwa baina ya mataifa, serikali na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu.
-
Bendera ya Palestina yapepea katika kilele cha Mlima Kilimanjaro
Apr 13, 2018 23:25Kikundi cha mabinti na vijana 16 wa Kipalestina kimefanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kupeperusha bendera ya Palestina katika mlima huo mrefu zaidi barani Afrika.
-
Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea
Apr 10, 2018 03:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema maandamano makubwa ya amani yataendelea hadi pale mzingiro wa kibaguzi katika Ukanda wa Gaza utakapoondolewa.
-
Arab League yalaani jinai za karibuni za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Apr 09, 2018 02:42Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amelaani jinai za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wa Palestina.
-
Palestina yataka jamii ya kimataifa ichukue hatua imara kukabiliana na kura ya turufu ya Marekani
Apr 08, 2018 09:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetoa taarifa na kuitaka jamii ya kimatiafa itafute mbinu mpya ya kukabiliana na namna Marekani inavyotumia vibaya kura yake ya turufu au veto katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mtaifa kwa ajili ya kuutetea utawala wa Kizyauni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Israel: Tutaishambulia Hamas iwapo maandamano ya Gaza yataendelea
Apr 08, 2018 03:19Utawala wa Kizayuni wa Israel umetishia kuishambulia Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, iwapo Wapalestina wataendelea na maandamano yao katika mpaka wa Gaza.