-
Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds
May 12, 2018 02:54Maelfu ya watu wameshiriki maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Kuchukua wigo mpana zaidi malalamiko ya Wapalestina dhidi ya njama za Trump huko Beitul-Muqaddas
May 10, 2018 07:21Ripoti mbalimbali kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kushadidi upinzani na malalamiko ya vyama na makundi mbalimbali ya Kipalestina dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mji wa Beitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Leo ni Jumanne tarehe 8 Mei, 2018
May 07, 2018 21:48Leo ni Jumanne tarehe 21 Shaabani 1439 Hijria sawa na Mei 8, 2018.
-
Utawala wa Kizayuni, tokea kudumisha jinai hadi kusitisha mpango wa uanachama katika Baraza la Usalama
May 07, 2018 02:15Utawala wa Kizayuni wa Israel Ijumaa iliyopita ulilegeza kamba na kutupilia mbali mpango wake wa kuchuana na nchi mbili za Ulaya kuwania uanachama usio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Sambamba na uamuzi huo, utawala wa Kizayuni umeendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa
May 06, 2018 02:55Wapalestina wasiopungua sita wanachama wa harakakati ya muqawama ya Palestina Hamas wameuawa katika mripuko wa bomu ulioukumba Ukanda wa Gaza jana Jumamosi.
-
Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel
May 03, 2018 23:38Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kuwa zitashiriki katika mashindano ya pikipiki yaliyoitishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoanza leo Ijumaa.
-
Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani
May 03, 2018 02:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na muungano eti wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani dhidi ya taifa la Syria.
-
Alkhamisi tarehe 3 Mei 2018
May 02, 2018 21:18Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Shaabani 1439 Hijria sawa na tarehe 3 Mei, 2018.
-
Mapatano ya Karne; mpango wa kuifuta Palestina
May 02, 2018 03:37Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani yay Palestina amesisitiza kuwa, Beitul-Muqaddas ni mji mkuu wa abadi na milele wa Palestina.
-
"Maandamano ya Haki ya Kurejea" nembo endelevu ya Wapalestina
Apr 29, 2018 03:01Yahya Sinwar Mwanachama wa Ngazi za Juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesisitiza kuhusu kuendelea "Maandamano ya Haki ya Kurejea" na kusema: "Maandamano makubwa ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu na utawala bandia wa Israel mwaka 1948 ni ishara ya kufungamana na haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika ardhi zao.