Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Baraza la Taifa la Palestina kukutana ili kuamua kuhitimisha uhusiano na Israel

    Baraza la Taifa la Palestina kukutana ili kuamua kuhitimisha uhusiano na Israel

    Apr 28, 2018 23:06

    Baraza la Taifa la Palestina (PNC) linatazamiwa kukutana ili kujadili uamuzi wa kusitisha msimamo wa kuutambua rasmi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina

    Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina

    Apr 28, 2018 03:07

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liuchukulie hatua mara moja utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuwaua shahidi Wapalestina wanaofanya maandamano ya amani katika mpaka wa Ghaza.

  • Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Apr 27, 2018 09:22

    Mkuu wa masuala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia nguvu ziada dhidi ya waandamanaji Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza jambo ambalo limepelekea makumi kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Mchango wa Trump katika mauaji ya Wapalestina

    Mchango wa Trump katika mauaji ya Wapalestina

    Apr 27, 2018 01:44

    Wapalestina wasiopungua 94 wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa utawala ghasibu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani alipoutambua rasmi mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.

  • Ismail Haniya: Waliomuua mwanasayansi wa Kipalestina watalipa gharamu kubwa

    Ismail Haniya: Waliomuua mwanasayansi wa Kipalestina watalipa gharamu kubwa

    Apr 24, 2018 22:01

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema wahusika wa mauaji ya Fadi al Batsh, mwanachama msomi wa harakati hiyo, watalipa gharama kubwa kwa kumuua mwanasayansi huyo nchini Malaysia.

  • Je, Israel inatumia 'risasi za sumu' dhidi ya Wapalestina Gaza?

    Je, Israel inatumia 'risasi za sumu' dhidi ya Wapalestina Gaza?

    Apr 23, 2018 03:24

    Madaktari wa Palestina na wa kimataifa wameonyesha wasi wasi mkubwa walionao kuhusiana na majeraha mabaya yaliyosababishwa na risasi za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika mpaka wa Gaza.

  • MOSSAD latajwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kipalestina nchini Malaysia

    MOSSAD latajwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kipalestina nchini Malaysia

    Apr 22, 2018 03:19

    Harakati ya Palestina ya Al Mujahidin imesema: mauaji ya kigaidi ya mhandisi Fadi Muhammad al-Batsh ni jinai iliyotendwa na Israel kwa lengo la kuzima fikra ya ubunifu na uvumbuzi wa Kiislamu; hata hivyo Wazayuni wajue kwamba hawatoweza katu kukwamisha ustawi wa harakati ya kielimu na kifikra ya Muqawama.

  • Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina

    Umoja wa Ulaya waitaka Israel ikomeshe unyama wake dhidi ya Wapalestina

    Apr 21, 2018 23:18

    Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Israel ukomeshe vitendo vyake vya utumiaji mabavu dhidi ya Wapalestina.

  • Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza

    Apr 20, 2018 23:40

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS: Taarifa ya kikao cha

    HAMAS: Taarifa ya kikao cha "Dhahran" haikukidhi matakwa ya Wapalestina

    Apr 18, 2018 11:56

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema misingi thabiti ya taifa la Palestina ambayo ni misingi ya mataifa yote inayojumuisha watu, ardhi, itikadi na matakufu yao imepuuzwa katika taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za Kiarabu kilichofanyika Dhahran, Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS