-
Hamas: Wapalestina hawaogopi vitisho vya utawala haramu wa Israel
Feb 20, 2018 00:32Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawaogopeshwi na vitisho vya utawala dhalimu wa Israel.
-
Israel yawauawa shahidi Wapalestina wawili, Hamas yajibu
Feb 18, 2018 12:18Vijana wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kufuatia mashambulizi ya jeshi la utawala katili la Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ayatullah Nouri-Hamedani: Waislamu wasipoungana, Palestina itatenganishwa na Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 17, 2018 23:43Ayatullah Hussein Nouri Hamedani, mmoja wa Marjaa Taqlidi aliyeko mjini Qom amesisitizia ulazima wa kupatikana umoja baina ya Waislamu duniani na kubainisha kwamba ikiwa Waislamu hawatoungana, maadui wataitenganisha Palestina na Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Afisa wa Palestina: Mahakama ya ICC imeshakabidhiwa faili la jinai za Israel
Feb 15, 2018 04:32Afisa mwandamizi wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na mshauri wa rais wa Mamlaka hiyo amesema, faili la kesi inayohusiana na ujenzi wa vitongoji na jinai mbalimbali zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel imeshakabidhiwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Abbas na Putin wazungumzia nafasi ya US katika mgogoro wa Palestina
Feb 13, 2018 03:59Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemwambia Rais Vladimir Putin wa Russia kwamba nchi yake haitaikubali tena Marekani kuwa mpatanishi katika mgogoro wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina
Feb 10, 2018 12:55Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, nchi hii imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina na pia ni nchi yenye taathira chanya zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu
Feb 09, 2018 11:00Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, Wapalestina na Mabedui wanaoishi katika kitongoji cha Area C katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina wapo katika hatari ya kufurushwa kwenye makazi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina na siasa za kinyama za Donald Trump
Feb 09, 2018 03:11Marekani imeshurutisha suala la kuanza tena kutoa msaada kwa Wakala wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Wakimbizi wa Palesrina (UNRWA) kwa mambo ambayo yanakinzana na maslahi ya Wapalestina.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Palestina
Feb 07, 2018 04:41Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, kwa tuhuma kuwa alitaka kumdunga kisu askari wa Kizayuni.
-
Zaidi ya hospitali 10 za Ukanda wa Gaza zafungwa kutokana na uhaba wa umeme
Feb 05, 2018 23:18Zaidi ya hospitali 10 na vituo vya afya katika eneo lililowekewa mzingiro la Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu, zimefungwa kutokana na kukatwa umeme na uhaba wa fueli ya majenereta yanayotumia umeme wa dharura.