-
Mash'al: Kuanzisha uhusiano na Israel umeisababishia Palestina dhiki
Mar 05, 2023 07:28Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi ameyakosoa baadhi ya madola ya Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel na kusisitiza kuwa, ushirikiano na utawala huo wa Kizayuni haujakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuwasababishia Wapalestina dhiki na matatizo.
-
Rais wa Baraza la Usalama UN akwepa kujibu suali kuhusu Palestina na Ukraine
Mar 03, 2023 04:14Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amekataa kujibu suali aliloulizwa kuhusu Palestina na Ukraine.
-
"Mkutano wa Aqaba unaipa Israel kibali cha kushadidisha jinai dhidi ya Wapalestina"
Feb 27, 2023 06:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameashiria mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan na kusisitiza kuwa, kikao hicho cha Aqaba kinalenga kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel ridhaa ya kushadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina wapinga mkutano na Israel ulioandaliwa na US huko Jordan
Feb 26, 2023 23:01Maelfu ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kulalamikia mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan, siku chache baada ya jeshi katili la Israel kufanya mashambulizi ya umwagaji damu huko Jenin.
-
Afrika Kusini: Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina zinakinzana na Hati ya Umoja wa Afrika
Feb 26, 2023 09:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuhusu kufukuzwa ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa viongozi wa nchi za Afrika uliofanyika Addis Ababa huko Ethiopia kuwa utawala wa Kizayuni umetenda jinai nyingi dhidi ya Palestina na suala hilo ni kinyume na hati ya Umoja wa Afrika.
-
Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Damu ya Mashahidi itailetea ushindi Palestina
Feb 25, 2023 03:39Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amepongeza mchango wa kijihadi wa Mashahidi wa ardhi hiyo katika kukabiliana na adui Mzayuni na akasema, damu za Mashahidi hao ndizo zitakazoiletea ushindi Palestina.
-
Onyo la Ismail Hania kwa Israel kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu
Feb 24, 2023 23:13Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amewapongeza wananchi wa Palestina kwa kuendelea kusimama imara na kutangaza kuwa, vita na adui Mzayuni vimeingia katika awamu mpya.
-
Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus
Feb 23, 2023 02:45Baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani jinai mpya iliyotekelezwa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika mji wa Nablus.
-
HAMAS: Mielekeo ya Mamlaka ya Ndani ipo dhidi ya taifa la Palestina
Feb 21, 2023 03:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapatano yaliyofikiwa karibuni baina ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Israel kwa mashinikizo ya Marekani ni usaliti kwa kambi ya muqawama ya Wapalestina.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atoa pole ya kifo cha balozi mkongwe wa Palestina
Feb 20, 2023 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia jana Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.