Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Kiongozi Muadhamu azikosoa nchi za Waislamu kwa kufumbia macho kadhia ya Palestina

    Kiongozi Muadhamu azikosoa nchi za Waislamu kwa kufumbia macho kadhia ya Palestina

    Feb 18, 2023 07:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa nchi za Kiislamu kwa kutochokua hatua yoyote ya maana juu ya kadhia ya Palestina.

  • Nchi za Amerika ya Latini zalaani ujenzi wa vitongoji haramu

    Nchi za Amerika ya Latini zalaani ujenzi wa vitongoji haramu

    Feb 18, 2023 06:23

    Kundi la nchi za Amerika ya Latini limelaani na kukosoa vikali uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Al-Nakhalah ampongeza Kiongozi wa Mapinduzi kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Al-Nakhalah ampongeza Kiongozi wa Mapinduzi kwa mnasaba wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Feb 12, 2023 08:25

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina, Ziyad al-Nakhalah amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapiinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei akimpongeza kwa mnasaba wa kutimia miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.

  • UN: Israel imeua makumi ya Wapalestina ndani ya wiki tatu

    UN: Israel imeua makumi ya Wapalestina ndani ya wiki tatu

    Feb 05, 2023 07:13

    Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewaua shahidi makumi ya Wapalestina katika kipindi cha wiki tatu, katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, hayo yamesemwa na Umoja wa Mataifa.

  • Iran: Wakiukaji wa kila siku wa haki za binadamu ni wabeba bendera ya uongo ya haki za binadamu

    Iran: Wakiukaji wa kila siku wa haki za binadamu ni wabeba bendera ya uongo ya haki za binadamu

    Feb 04, 2023 07:15

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, watu ambao ndio wakiukaji wakubwa wa kila siku wa haki za binadamu ulimwenguni, leo ni wabeba bendera ya uongo ya kutetea haki za binadamu.

  • Wanamuqawama wa Palestina wajibu mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni Ghaza

    Wanamuqawama wa Palestina wajibu mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni Ghaza

    Feb 02, 2023 04:37

    Utawala wa Kizayuni leo asubuhi umeyashambulia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Ghaza ambapo hujuma hiyo imekabiliwa na jibu la makundi ya wanamuqawama wa Palestina ambao wamevurumisha maroketi kadhaa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kandokando ya Ukanda wa Ghaza.

  • Nyaraka za Uingereza: Bush aliiamuru CIA kutafuta shakhsia mbadala wa Arafat

    Nyaraka za Uingereza: Bush aliiamuru CIA kutafuta shakhsia mbadala wa Arafat

    Feb 02, 2023 04:24

    Rais wa zamani wa Marekani George W Bush aliliamuru Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kumtafuta shakhsia mbadala ili kuchukua nafasi ya aliyekuwa Kiongozi wa Palestina mwendazake Yasser Arafat baada ya kupamba moto Intifadha ya Pili ya Wapalestina mwaka 2001. Hayo ni kwa mujibu wa nyaraka za Uingereza zilizotolewa hadharani.

  • Algeria: Palestina itaendelea kuwa kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Algeria: Palestina itaendelea kuwa kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 30, 2023 03:26

    Rais wa Algeria amesema kukwa, Palestina itaendelea kuwa kadhiaa kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.

  • Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel

    Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel

    Jan 29, 2023 23:16

    Siku moja tu baada ya kutekelezwa jinai ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin, kijana mmoja wa Kipalestina ametekeleza oparesheni ya kishujaa katika mji mtakatifu wa Quds inayokaliwa kwa mabavu na kusababisha vifo vya Wazayuni 10.

  • Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

    Jan 28, 2023 23:05

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS