-
HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel
Dec 31, 2022 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake.
-
Jumapili, Mosi Januari, 2023
Dec 31, 2022 22:43Leo ni Jumapili tarehe 8 Mfunguo Tisa Jamadu-Thani 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Januari 2023 Miladia.
-
Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia
Dec 29, 2022 23:05Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Haniya: Wapalestina watashadidisha mapambano dhidi ya ujenzi haramu wa Israel
Dec 29, 2022 09:06Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameionya Israel dhidi ya sera yake ya unyakuzi wa ardhi na kusisitiza kuwa, ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni utakabiliwa kwa nguvu kupitia muqawama.
-
Israel yawaweka mamia ya watoto wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani
Dec 27, 2022 04:02Kamisheni ya Wafungwa wa Kipalestina imesema utawala haramu wa Israel umewaweka watoto zaidi ya 600 wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani, tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina.
-
Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai
Dec 26, 2022 23:02Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds amesema kuwa, serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu inadhihirisha sura ya watenda jinai na kusisitiza kuwa: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu.
-
Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Dec 24, 2022 22:47Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
-
Jumapili, 25 Disemba, 2022
Dec 24, 2022 22:45Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Tisa Jamadu-Thani 1444 Hijriia sawa na tarehe 25 Disemba 2022 Miladia.
-
Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina
Dec 22, 2022 23:42Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus
Dec 18, 2022 07:10Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.