-
Sayyid Nasrullah: Tutajibu papo hapo shambulizi lolote la Israel
Apr 29, 2022 22:35Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la Israeli, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.
-
Utawala wa Israel washambulia Msikiti wa Al Aqsa katika Siku ya Quds
Apr 29, 2022 03:51Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) asubuhi ya leo Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Barabara za Ghaza zapambwa kusubiri Siku ya Kimataifa ya Quds
Apr 28, 2022 02:36Huku Ijumaa ya kesho ya tarehe 29 Aprili mwaka ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds yaani Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tayari mitaa ya Ukanda wa Ghaza imepambwa kwa picha mbalimbali za mashahidi wa kambi ya muqawama ya ukombozi wa Palestina.
-
Oman yataka ukombozi wa Palestina na kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni
Apr 27, 2022 22:17Nchi ya Oman imetaka jamii ya kimataifa itekeleze majukumu yake ya kukomesha kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni ardhi za Palestina kwa mujibu wa maazimio ya Umoja wa Mataifa.
-
Mashabiki wa mpira wapiga nara za "Palestina Palestina" kwenye uwanja wa mpira Morocco
Apr 27, 2022 22:15Nara ya "Palestina! Palestina!" imerindima katika uwanja wa mpira wa miguu kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo nchini Morocco, nchi ambayo imetangaza uhusiano wa kawaida na Wazayuni kinyume na msimamo wa wananchi wa nchi hiyo.
-
Ismail Hania: Kadhia ya Quds haiwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia njia ya mazungumzo
Apr 27, 2022 03:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, wimbi jipya la muqawama ni sisitizo kwamba, kadhia ya Quds, msikiti wa al-Aqswa, haki ya kurejea wakimbizi na kuachiliwa huru wafungwa wa Kipalestina ni mambo ambayo hayawezi kupatiwa ufumbuzi kwa kukukaa katika meza ya mazungumzo.
-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ni fursa mwafaka ya kutangaza kuwa pamoja na Wapalestina
Apr 26, 2022 23:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maadhimisho ya Siku ya Quds ni fursa ya kutangaza kuwa pamoja na wananchi madhulumu wa Palestina ambapo licha ya taifa hilo kudhulumiwa lakini limepata nguvu na kuwa imara.
-
Umoja wa Afrika walaani hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa na Gaza
Apr 23, 2022 23:04Umoja wa Afrika umelaani hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Gaza sambamba na kusisitiza uungaji mkono wake kwa watu wa Palestina.
-
UN yataka kuchunguzwa ukatili wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Apr 23, 2022 08:58Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa wazi kuhusiana na mashambulio ya kikatili ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waumini wa Kipalestina waliokuwa wakifanya ibada katika Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Sisitizo la Iran la kurudishwa amani ya kudumu katika eneo kwa kuondolewa ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina
Apr 22, 2022 03:46Hussein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi itapatikana tu kwa kuondolewa kikamilifu ukaliwaji mabavu wa ardhi za Palestina, kurejea wakimbizi wote katika ardhi zao za jadi na kuainishwa mfumo wa utawala wa baadaye wa Palestina kwa msingi wa kura ya maoni pamoja na kuundwa serikali huru katika ardhi hizo.