Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Al Barghuthi: Jenin haitabaki pekee yake,Wapalestina wataiunga mkono

    Al Barghuthi: Jenin haitabaki pekee yake,Wapalestina wataiunga mkono

    Apr 14, 2022 02:50

    Katibu Mkuu wa harakati ya Palestinian Initiative, Mustafa Barghouthi ameeleza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu unamwaga daumu za Wapalestina katika juhudi za kuficha kushindwa kwake kisiasa na kiusalama.

  • Makundi ya muqawama wa Palestina yaitisha kikao cha dharura kujadili jinai za Israel

    Makundi ya muqawama wa Palestina yaitisha kikao cha dharura kujadili jinai za Israel

    Apr 13, 2022 06:55

    Makundi mbalimbali ya mapambano ya Palestina yameitisha kikao cha dharura mjini Ghaza kutokana na kuongezeka mno uhalifu na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • HAMAS: Vitisho vya Israel haviwezi kuwababaisha Wapalestina

    HAMAS: Vitisho vya Israel haviwezi kuwababaisha Wapalestina

    Apr 13, 2022 03:07

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amejibu matamshi ya kifedhuli ya Waziri wa Vita wa Israel, Benny Gantz na kusisitiza kuwa: Vitisho kamwe haviwezi kuwababaisha na kuwashtua Wapalestina

  • Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Apr 12, 2022 23:38

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema changamoto zote zinazolikabili taifa hili zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kusisitiza kuwa, Mfumo wa Uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepata mafanikio mengi katika sekta tofauti na kuwa kivutio kikubwa kwa mataifa mengi duniani.

  • Nasrullah: Watu wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao dhidi ya Wazayuni

    Nasrullah: Watu wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao dhidi ya Wazayuni

    Apr 11, 2022 22:58

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao ya ukombozi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • "Mapambano ya Wapalestina yameingia katika marhala mpya"

    Apr 10, 2022 22:05

    Mkuu wa Kituo cha Intifadha ya Palestina na Quds katika Baraza la Kuratibu Tablighi ya Kiislamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yameingia katika marhala mpya.

  • Hizbullah ya Lebanon: Operesheni ya kijana wa Kipalestina Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon: Operesheni ya kijana wa Kipalestina Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni

    Apr 08, 2022 22:03

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema kuwa, operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana mmoja Mpalestina katikati ya Tel Aviv imedhihirisha udhaifu wa utawala wa Kizayuni na kufeli vyombo vya usalama vya utawala huo pandikizi.

  • Israel yashadidisha kamatakamata dhidi ya Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani

    Israel yashadidisha kamatakamata dhidi ya Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani

    Apr 07, 2022 09:13

    Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewashambulia Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwatia mbaroni 13 miongoni mwao.

  • Ripoti: Israel imewateka nyara watoto 9,000 wa Kipalestina tokea 2015

    Ripoti: Israel imewateka nyara watoto 9,000 wa Kipalestina tokea 2015

    Apr 05, 2022 02:47

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewateka nyara maelfu ya watoto wa Kipalestina katika kipindi cha miaka saba iliyopita.

  • Kijana wa Algeria awapa watoto Wapalestina dola 2,800 alizoshinda kwenye mashindano ya Qurani

    Kijana wa Algeria awapa watoto Wapalestina dola 2,800 alizoshinda kwenye mashindano ya Qurani

    Apr 04, 2022 21:55

    Kijana wa Algeria aliyeibuka kidedea katika mashindano ya kuhifadhi Qurani tukufu, ametoa dola karibu elfu tatu alizoshinda kwenye mashindano hayo kwa ajili ya watoto wa Kipalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS