Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin

    Onyo la HAMAS kwa Israel baada ya kuwaua shahidi Wapalestina 3 Jenin

    Apr 03, 2022 03:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelionya vikali jeshi katili la utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Jenin.

  • Israel yawaua shahidi Wapalestina 3 siku ya kwanza ya Ramadhani

    Israel yawaua shahidi Wapalestina 3 siku ya kwanza ya Ramadhani

    Apr 02, 2022 08:38

    Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Jihadul Islami: Operesheni dhidi ya Israel ni jibu kwa jinai zake

    Jihadul Islami: Operesheni dhidi ya Israel ni jibu kwa jinai zake

    Mar 31, 2022 22:59

    Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema operesheni za hivi karibuni za wanamuqawama wa Kipalestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni jibu kwa jinai za utawala huo pandikizi na hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.

  • Zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya Palestina inahodhiwa na utawala haramu wa Israel

    Zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya Palestina inahodhiwa na utawala haramu wa Israel

    Mar 30, 2022 21:56

    Kwa mnasaba wa Siku ya Ardhi, Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina (PCBS) imetangaza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hivi sasa umehodhi zaidi ya asilimia 85 ya ardhi ya nchi hiyo kulingana na mipaka ya kihistoria.

  • Wazayuni 5 wauawa kwa kupigwa risasi mjini Tel Aviv

    Wazayuni 5 wauawa kwa kupigwa risasi mjini Tel Aviv

    Mar 30, 2022 02:08

    Kwa akali Waisraeli watano wameangamizwa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo viungani mwa mji wa Tel Aviv.

  • China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu

    China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu

    Mar 29, 2022 22:29

    China imezishutumu nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kindumakuwili kwa kushughulikia kwa wakati haki za binadamu za watu wanaokimbia vita vya Russia na Ukraine na kupuuza haki za wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati, Afrika na Amerika ya Kusini.

  • Az-Zahar: Operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao walichozabwa wafanya mapatano

    Az-Zahar: Operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao walichozabwa wafanya mapatano

    Mar 29, 2022 03:27

    Mahmoud az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, operesheni ya al-Khadhirah kilikuwa kibao ambacho walichapwa wafanyamapatano na wale walio kitu kimoja na utawala ghasibu wa Kizayuni.

  • Khatibzadeh: Kufanyika mkutano wa uovu ni usaliti kwa lengo tukufu la ukombozi wa Palestina

    Khatibzadeh: Kufanyika mkutano wa uovu ni usaliti kwa lengo tukufu la ukombozi wa Palestina

    Mar 28, 2022 22:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kufanyika mkutano wa uovu Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuelezea kuwa ni usaliti kwa lengo tukufu la ukombozi wa Palestina.

  • Abbas akosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Russia na Ukraine

    Abbas akosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita vya Russia na Ukraine

    Mar 28, 2022 21:01

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) Mahmoud Abbas amezikemea nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kinafiki na kindumakuwili baada ya kuchukua hatua kali dhidi ya Russia kuhusu operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine huku zikipuuza uhalifu unaofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina

    Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina

    Mar 27, 2022 06:20

    Amir wa Qatar amekosoa vikali hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kusisitiza kuwa, asilimia kubwa ya jamii ya kimataifa imefumbia macho kadhia hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS