Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Kiongozi wa Wakristo wa Palestina: Hatua za karibuni dhidi ya Quds zitaifikia mpaka Makka

    Dec 21, 2017 12:48

    Kiongozi wa kiroho wa Wakristo wa Palestina Kasisi Manuel Musallam amesema, hatua iliyochukua Marekani hivi karibuni dhidi ya Quds inalenga kuanzisha vita vya kidini ambavyo vitafika mpaka Makka.

  • Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Zarif: Trump anadunisha demokrasia kwa kutishia wapinzani wake

    Dec 21, 2017 00:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali msimamo wa Marekani wa kupinga maamuzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Quds tukufu na kusema kuwa: Washington imebakia katika kiwango cha "ama uwe pamoja na sisi au dhidi yetu."

  • Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Dec 19, 2017 23:07

    Mwakilishi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina nchini Iran amesema Wapalestina wanahitaji msaada wa mataifa na serikali za Kiarabu na Kiislamu ili kuendeleza harakati ya mwamko au Intifadha dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1

    Dec 19, 2017 07:55

    Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.

  • Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Dec 19, 2017 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alilaani hatua ya Marekani ya kuupigia kura ya veto mswada uliopendekezwa na Misri kuhusu Quds na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume na amani na usalama wa kimataifa kwa lengo la kukandamiza haki za wananchi wa Palestina.

  • Biashara ya Aal Saud na Marekani: Tutaiunga mkono Israel; mtuachie tufanye jinai Yemen

    Biashara ya Aal Saud na Marekani: Tutaiunga mkono Israel; mtuachie tufanye jinai Yemen

    Dec 19, 2017 02:45

    Vitendo na misimamo ya ukoo wa Aal Saud kuhusiana na Quds na Yemen inathibitisha kwamba serikali za Saudia na Marekani zimefikia makubaliano maalumu ambayo matokeo yake ni kuwa, ukoo wa Aal Saud utaishia patupu.

  • Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Marekani yatumia VETO kupinga azimio la Quds

    Dec 19, 2017 00:56

    Licha ya wanachama 14 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuupigia kura ya ndio muswada uliopendekezwa na Misri kuhusu mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas, lakini Marekani imeukwamisha muswada huo kwa kura yake ya veto.

  • Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Dec 18, 2017 23:20

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu imesisitiza kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel ni ukiukaji wa wazi wa haki za wananchi wa Palestina.

  • Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds

    Dec 18, 2017 23:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ni njama zilizofeli za kutaka kuzima mapambano ya Intifadha ya kuiunga mkono Quds katika ardhi zote za Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu

    Hizbullah ya Lebanon: Marekani ni adui mkuu wa Waarabu na Waislamu

    Dec 18, 2017 11:04

    Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, hii leo ulimwengu umefahamu na kudiriki kwamba, dola la Marekani ndio adui mkuu wa Waarabu na Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS