-
AU, UN na EU zalaani mauaji ya Rais Idriss Deby wa Chad
Apr 21, 2021 03:10Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Ulaya (EU) zimelaani na kukosoa vikali mauaji ya Rais Idriss Deby Itno wa Chad.
-
Rais Idriss Deby wa Chad auawa kabla ya kuapishwa kwa awamu ya sita
Apr 20, 2021 08:38Jeshi la Chad limetangaza leo kuwa rais wa nchi hiyo, Idriss Deby ameuawa kutokana na majeraha aliyoyapata katika medani ya vita.
-
Uchaguzi wa Rais wa Syria kufanyika mwezi ujao wa Mei
Apr 18, 2021 22:16Syria imeanisha Mei 26 mwaka huu kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais katika taifa hilo la Kiarabu linalosakamwa na mapigano, hujuma za kigaidi na uingilaji wa kigeni kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.
-
Hatua mpya za serikali ya Biden dhidi ya Russia; vikwazo vipya na kufukuzwa wanadiplomasia
Apr 17, 2021 07:40Serikali ya Marekani juzi Alhamisi iliwawekea vikwazo Shakhsia 12 wa serikali ya Russia wakiwemo viongozi kadhaa wa serikali, wa masuala ya intelijensia wa nchi hiyo pamoja na taasisi 20 za Russia.
-
Rais Ramaphosa ataka Afrika ianze kujizalishia chanjo ya Covid-19
Apr 13, 2021 02:21Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema bara la Afrika linahitaji ujuzi na uwezo wa kujitengenezea chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo bara hilo linakumbwa na uhaba mkubwa wa chanjo hizo.
-
Ali Hassan Mwinyi: Rais Samia ameanza vizuri, kila mtu ana furaha
Apr 12, 2021 07:41Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili nchini Tanzania, Dkt. Ali Hassan Mwinyi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye amempongeza kwa kuanza vizuri majukumu yake ya kuongoza nchi.
-
Dunia yaendelea kukosoa azimio la Seneti ya Ufaransa kuhusu marufuku ya hijabu
Apr 10, 2021 23:06Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Ufaransa na maeneo mengine ya dunia wameanzisha kampeni iliyopewa jina la Hands Off My Hijab (@handsoffmyhijab) wakieleza hasira zao dhidi ya azimio la Baraza la Seneti la Ufaransa la kuzidisha vizuizi na marufuku dhidi ya vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, Hijabu. Watu wengi wamesema kuwa azimio hilo linapiga vita Uislamu.
-
Guelleh (73) ashinda muhula wa 5 wa uchaguzi wa rais Djibouti
Apr 10, 2021 03:13Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti ameibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana Ijumaa.
-
Rais wa Tanzania kuunda kamati ya Corona, ataka vyombo vya habari vifunguliwe
Apr 06, 2021 09:19Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ataunda kamati ya wataalamu watakaochambua kwa kina ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kuishauri Serikali hatua za kuchukua.
-
Sisitizo la Marekani la kuiunga mkono Saudi Arabia; utendaji wa kindumakuwili wa serikali ya Biden
Apr 05, 2021 04:58John Kirby, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) alitangaza Jumamosi ya juzi katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, Washington itaendelea kuiunga mkono na kuihami Saudi Arabia.