-
Rais wa Gambia atuhumiwa kufanya magendo
Dec 18, 2016 15:15Gazeti la Le Monde la nchini Ufaransa limefichua kuwa, Rais Yahya Jammeh wa Gambia anatumia ndege yake binafsi kufanya magendo ya silaha na vitui vingine katika kona mbalimbali za dunia.
-
Timu ya upatanishi yaelekea Gambia kusuluhisha mzozo wa urais
Dec 13, 2016 08:13Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf anaongoza timu ya upatanishi inayotazamiwa kuelekea nchini Gambia hii leo kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa uongozi ulioibuka nchini humo, baada ya Rais Yahya Jammeh kupinga matokoe ya uchaguzi wa rais.
-
Yahya Jammeh apinga matokeo ya uchaguzi wa Rais Gambia
Dec 10, 2016 12:52Rais Yahya Jammeh wa Gambia ametangaza kuwa hatambui rasmi matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo Disemba Mosi, ikiwa imepita karibu wiki moja tangu uchaguzi huo ufanyike na mgombea wa muungano wa upinzani kuibuka mshindi.
-
HRW: Rais wa Gambia anawatesa wapinzani na wakosoaji wake
Nov 03, 2016 03:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linamtuhumu Rais wa Gambia Yahya Jammeh kuwa anawakandamiza na kuwatesa wapinzani na wakosoaji wake na kwamba yumkini uchaguzi mkuu ujao wa Disemba Mosi usiwe huru na wa haki.
-
Mgogoro wa mpaka kati ya Gambia na Senegal, waathiri uchumi wa Gambia
May 12, 2016 04:19Mgogoro umezuka baina ya Gambia na Senegal, kutokana na kuwania mpaka kati yao.
-
Usalama waimarishwa Uganda huku Rais Museveni akitarajiwa kuapishwa kesho
May 11, 2016 15:37Mkuu wa Polisi ya Uganda ametangaza kuwa, usalama umeimarishwa nchini humo huku Rais Yoweri Museveni akitarajiwa kuapishwa Alkhamisi ya kesho.