Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rohingya

  • The Observer yahoji: Walikuwa wapi waandamanaji wa sasa huko Myanmar wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya?

    The Observer yahoji: Walikuwa wapi waandamanaji wa sasa huko Myanmar wakati wa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya?

    Feb 23, 2021 02:48

    Gazeti la The Observer linalochapishwa nchini Uingereza limeandika makala kuhusu maandamano makubwa yanayoendelea nchini Myanmar kupinga mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia na kuhoji kuwa, walikuwa wapi waandamanaji hao katika kipindi chote cha miaka minne ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali dhdi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya?

  • HRW: Waislamu Warohingya wanaishi kwenye 'jela ya wazi' na katika

    HRW: Waislamu Warohingya wanaishi kwenye 'jela ya wazi' na katika "unyonge na udhalili"

    Oct 08, 2020 14:13

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, Waislamu wapatao 130,000 wa jamii ya Rohingya waliosalia kwenye kambi za wakimbizi zilizoko kwenye jimbo la Rakhine nchini Myanmar wanaishi katika mazingira ya unyonge na udhalili. Human Rights Watch imeihimiza serikali ya nchi hiyo ikomeshe haraka uwekaji kizuizini huo wa kiholela na usio na mwisho wa watu hao.

  • UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar

    UN yaonya kuhusu uhalifu zaidi wa kivita dhidi ya Waislamu nchini Myanmar

    Sep 15, 2020 12:48

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Myanmar dhidi ya jamii ya Waislamu wa Rohingya.

  • "Mashambulizi ya anga ya Myanmar yaliyoua watoto ni jinai za kivita"

    Jul 08, 2020 08:10

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema mashambulizi ya anga yaliyofanywa hivi karibuni na jeshi la Myanmar katika mkoa wa Rakhine na kuua idadi kubwa ya raia wakiwemo watoto wadogo ni jinai za kivita.

  • Picha za satalaiti zaonyesha nyumba za Waislamu wa Mynamar zikichomwa moto

    Picha za satalaiti zaonyesha nyumba za Waislamu wa Mynamar zikichomwa moto

    May 27, 2020 03:50

    Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi baada ya picha za satalaiti kuonyesha nyumba za Waislamu katika mkoa wa Rakhine nchini Mynamar zikiteketea kwa moto.

  • UN: Jeshi la Myanmar linaendelea kuwafanyia jinai Waislamu Warohingya

    UN: Jeshi la Myanmar linaendelea kuwafanyia jinai Waislamu Warohingya

    Apr 30, 2020 08:01

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar amelituhumu jeshi la nchi hiyo kuwa lingali linawatendea jinai za kivita na zilizo dhidi ya binadamu Waislamu wa jamii ya Rohingya katika majimbo mawili ya nchi.

  • Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa kwa njaa ndani ya boti

    Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa kwa njaa ndani ya boti

    Apr 17, 2020 04:25

    Makumi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha kutokana na njaa baada ya boti yao kukwama baharini kwa majuma kadhaa.

  • Warohingya 16 wapoteza maisha katika ajali ya boti Bangladesh

    Warohingya 16 wapoteza maisha katika ajali ya boti Bangladesh

    Feb 11, 2020 12:02

    Kwa akali Waislamu 16 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika Pwani ya Bengal, kaskazini mwa Bangladesh.

  • OIC yaitaka Myanmar iheshimu agizo la mahakama ya ICJ kuhusu Waislamu Warohingya

    OIC yaitaka Myanmar iheshimu agizo la mahakama ya ICJ kuhusu Waislamu Warohingya

    Jan 27, 2020 08:16

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imepongeza agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) lilioitaka serikali ya Myanmar kuchukua hatua za dharura za kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya na kubainisha kwamba, serikali ya Myanmar inapaswa kuheshimu agizo hilo.

  • Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya

    Middle East Eye: Saudia inazidisha mashaka ya Waislamu wa Rohingya

    Jan 08, 2020 02:48

    Kituo cha habari cha Middle East Eye kimeripoti kuwa, Saudi Arabia inazidisha mashaka na masaibu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Myanmar kwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafukuza Warohingya wanaofanya kazi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS