-
Rais Rouhani: Mlioiwekea vikwazo Iran, pelekeni siasa zenu ghalati katika kapu la historia
Dec 16, 2020 03:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wale wote wanaofanya njama za kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu kwa siasa kama za vikwazo, wanapaswa wasahau kabisa misimamo na siasa zao ghalati zilizoshindwa, na wazitupe katika kapu la historia.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhulma dhidi ya Iran lazima vifutwe
Dec 14, 2020 15:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya kidhulma dhidi ya Iran lazima vifutwe.
-
Rais Rouhani: Azma ya Iran ni kustawisha uhusiano wake na Azerbaijan
Dec 10, 2020 01:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa Tehran na Baku ni mzuri na wa kidugu na akaongeza kuwa, azma ya Iran ni kustawisha uhusiano wake na Azerbaijan.
-
Rais Rouhani: Serikali mpya ya Marekani ifidie makosa yaliyopita
Dec 09, 2020 12:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kuhusu udharura wa pande zingine zilizoafiki mapatano ya nyuklia ya JCPOA kufungamana na mapatano hayo na kusema: "Serikali mpya ya Marekani inapaswa kufidia makosa yaliyopita na kutekeleza kikamilifu ahadi zake kuhusu JCPOA."
-
Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la Syria hadi ushindi wa mwisho
Dec 08, 2020 12:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesemam kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza maamuzi na irada ambayo imekuwa ikichukua katika kuiunga mkono serikali na taifa la Syria kama nchi muitifakii wake wa kistratejia na itakuwa bega kwa bega na Syria hadi kupatikana ushindi wa mwisho.
-
Rais Rouhani: Trump anaondoka na ndoto zake za kufikisha mauzo ya mafuta ya Iran kiwango cha sifuri
Dec 06, 2020 11:54Rais Hassan Rouhani ameashiria vizingiti mbalimbali vya vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya mauzo ya mafuta na bidhaa za petrokemikali za Iran na kusema kuwa, Rais Donald Trump ameshindwa kutekeleza tumaini lake la kutaka mauzo ya mafuta ya Iran yafikie kiwango cha sifuri na sasa ataondoka madarakani pamoja na tarajio lake hilo.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamekabiliana vilivyo na vita vya kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia
Dec 03, 2020 11:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia vita vya pande zote vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya Tehran na kusema kuwa, wananchi wa Iran wamekabiliana vilivyo na vita vya kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia vya adui.
-
Rais Rouhani: Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya muqawama wa taifa la Iran
Dec 02, 2020 11:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kushindwa 'siasa za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa' ni jambo ambalo linaifanya serikali mpya ijayo nchini humo isiwe na budi ila kusalimu amri mbele ya muqawama na kusimama kidete taifa hili la Kiislamu.
-
Rouhani atuma ujumbe UN; aitolea wito jamii ya kimataifa kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Dec 02, 2020 02:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Rouhani: Adui ameghadhibika baada ya kushindwa kuangamiza uchumi wa Iran
Dec 01, 2020 13:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kusambaratika 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran na kusema adui ameghadhibika baada ya kushindwa kufikia lengo lake la kuangamiza uchumi wa Iran.