-
Russia yatishia kuwashamblia kwa bomu la nyuklia wanachama wa NATO
Oct 01, 2026 02:51Moscow imeionya NATO kwamba inaweza kutumia silaha za nyuklia kuwashambulia wanachama wa jeshi hilo la nchi za Marekani iwapo muungano huo utajaribu kukata mawasiliano kati ya Kaliningrad na eneo kuu la Russia.
-
Ulyanov: Marekani imekuwa ikisubiri kuanguka uchumi wa Iran tangu 1980
Sep 29, 2026 03:02Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa ya mjini Vienna Austria, amejibu madai ya hivi karibuni ya waziri wa fedha wa Marekani na kusisitiiza kuwa "njia mbadala hazifanyi kazi" hivyo anaishauri Washington kutafuta njia za amani za kutatua masuala na Iran.
-
Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"
Sep 27, 2026 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov, amesema mauaji ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, yalikuwa "dhihirisho jengine lisilokubalika la kulazimisha matakwa kwa nguvu."
-
Mjumbe wa Putin: EU inakabiliwa na 'hali mbaya zaidi ya nishati kuwahi kuishuhudia katika historia'
Sep 21, 2026 10:25Mjumbe wa Ikulu ya Russia, Kremlin, Kirill Dmitriev amesema, Ulaya inakabiliwa na "hali mbaya zaidi ya uhaba wa nishati kuwahi kuishuhudia katika historia," na kuielezea hali hiyo kuwa ni ya "kujisababishia yenyewe."
-
Rais wa Russia aliamuru jeshi lisitishe mashambulizi dhidi ya Ukraine kwa muda wa siku tatu
Sep 05, 2026 13:45Rais Vladimir Putin wa Russia ameamuru kusitishwa mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukraine kwa muda wa siku tatu kabla ya mazungumzo na wapatanishi wakuu wa Marekani Steve Witkoff na Jared Kushner, ambao waliwasili mjini Moscow mapema leo Jumamosi.
-
Putin: Washirika wa Ukraine ni washirika wa ugaidi wa kimataifa
Sep 04, 2026 03:16Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, kurejeshwa uhusiano wa nchi yake na Marekani kunategemea misimamo ya Washington na kusisitiza kwamba: Madola ya Magharibi yanayoshirikiana na Ukraine ni washirika wa ugaidi wa kimataifa.
-
Russia: Vituo vya kijeshi vya UK ndani ya Ukraine na kwengineko vinaweza vikawa walengwa wa mashambulizi yetu
Aug 28, 2026 03:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova ameonya kuwa, zana na vifaa vya kijeshi vya Uingereza vilivyoko nchini Ukraine na kwingineko vinaweza kuwa walengwa halali wa mashambulizi ya Russia ikiwa Kiev itaendelea kutumia silaha zinazotolewa na Uingereza kushambulia maeneo ya ardhi ya Russia.
-
Waziri wa ulinzi aliyetimuliwa Ukraine: Ufisadi mkubwa unazuia kuhitishwa vita
Aug 24, 2026 05:58Waziri wa ulinzi aliyefukuzwa kazi wa Ukraine amekosoa kiwango cha ufisadi nchini humo, akisema kwamba ufisadi uliokita mizizi unazuia kukomeshwa vita na ujenzi mpya wa Ukraine.
-
Mufti Mkuu wa Russia asifu juhudi za Iran za kuunganisha Umma wa Kiislamu
Aug 24, 2026 04:38Mkuu wa Baraza la Mufti na Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia amepongeza hatua za Tehran kuimarisha umoja wa Umma wa Kiislamu.
-
Lavrov: Wanajeshi wa Ukraine Wanahusika na Ugaidi dhidi ya Nchi za Afrika
Aug 18, 2026 11:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema kuwa Moscow imetiwa wasiwasi na ripoti zinazoashiria kuwa wanajeshi wa Ukraine wanahusika katika operesheni zinazotekelezwa na makundi haramu ya wanamgambo dhidi ya nchi za ukanda wa Sahel barani Afrika.