Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia

    Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia

    Sep 18, 2025 10:11

    Gazeti la Financial Times limeripoti kuwa Umoja wa Ulaya (EU) umeamua kutekeleza mpango wa kuzitumia yuro bilioni 170 milki za Russia inazozishikilia kurudisha "mikopo ya fidia" kwa Ukraine.

  • Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani

    Sep 16, 2025 06:48

    Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini Zagreb, Croatia kwa kunyakua jumla ya medali tano na kulitwaa taji hilo kabla ya muda wa mashindano kumalizika.

  • Jumapili, 14 Septemba, 2025

    Jumapili, 14 Septemba, 2025

    Sep 14, 2025 02:45

    Leo ni Jumapili 21 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 14 Septemba 2025 Miladia.

  • Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Sep 14, 2025 02:41

    Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.

  • Kamanda Mkuu wa Ukraine akiri: Warussia wametushinda katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

    Kamanda Mkuu wa Ukraine akiri: Warussia wametushinda katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

    Sep 09, 2025 10:27

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Ukraine Aleksandr Syrsky amesema jeshi la Russia limelizidi nguvu jeshi lao katika mstari wa mbele wa vita kwa zana na nguvukazi

  • Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?

    Sep 07, 2025 06:49

    Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.

  • Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Sep 06, 2025 12:02

    Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi

  • Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia

    Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia

    Sep 05, 2025 11:03

    Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga mapendekezo ya 'dhamana ya usalama ya nchi za Magharibi kwa Ukraine' akionya kwamba, wanajeshi wowote wa kigeni watakaotumwa katika nchi hiyo jirani watakuwa "shabaha halali" ya jeshi la Russia.

  • Russia: Udikteta wa kiliberali wa Magharibi unaeneza chuki duniani

    Russia: Udikteta wa kiliberali wa Magharibi unaeneza chuki duniani

    Sep 03, 2025 06:22

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amesema kuwa, ‘udikteta huria wa Magharibi’ unaeneza chuki ulimwenguni kote kwa kasi ya kutisha.

  • Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Sep 02, 2025 07:04

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitiza umuhimu wa kutekelezwa Mkataba Kamili wa Ushirikiano wa Kistratejia kati ya nchi mbili hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS