-
Kundi la Brics linataka kuweko mfumo wa mabadilishano ya fedha usiotegemea Magharibi
Aug 25, 2023 22:51Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, kundi la kiuchumi la BRICS linapigania kuweko mfumo mpya wa mabadilishano ya fedha ambao hautategemea madola ya Magharibi.
-
Mkuu wa Wagner aaga dunia katika ajali ya ndege nchini Russia
Aug 24, 2023 03:47Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameripotiwa kuaga dunia katika ajali ya ndege huko kaskazini magharibi ya Russia.
-
Russia: Kundi la BRICS linapaswa kuwa nguzo ya mfumo mpya wa utawala duniani
Aug 21, 2023 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametilia mkazo wajibu wa kulifanya kundi la BRICS kuwa nguzo madhubuti ya mfumo mpya wa utawala duniani.
-
Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa
Aug 18, 2023 01:07Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini
Aug 15, 2023 23:18Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 07:01Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.
-
Russia yatungua droni 11 za Ukraine karibu na eneo la Crimea
Aug 10, 2023 22:48Russia imesema imefanikiwa kutungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine karibu na eneo la Crimea, na nyingine mbili zilizokuwa zinaelekea Moscow.
-
Uamuzi wa Russia na Qatar wa kutumia sarafu zao za taifa katika miamala ya kibiashara
Aug 10, 2023 22:47Katika muendelezo wa sera ya kufuta sarafu ya dola katika miamala ya kibiashara kati ya nchi mbalimbali, Qatar pia imeondoa matumizi ya dola katika mabadilishano yake ya kibiashara na Russia, ambapo biashara baina ya nchi hizo mbili, sasa itafanyika kwa kutumia sarafu za taifa.
-
Russia: Marekani ndiyo ya kulaumiwa kwa kutotekelezwa JCPOA
Aug 09, 2023 07:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mustakabali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA upo mikononi mwa Marekani na nchi za Ulaya, huku akitilia shaka azma ya Wamagharibi ya kuyahuisha mapatano hayo kikamilifu.
-
Moscow yasisitiza kuwa itatimiza malengo yake ya kijeshi huko Ukraine
Aug 08, 2023 23:43Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema kuwa nchi yake ina vikosi vya jeshi vya kutosha kutekeleza majukumu yote ya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine.