-
Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti
Nov 06, 2018 03:28Bunge la Afrika limekamilisha vikao vyake vya wiki mbili mjini Kigali Rwanda kwa kuanzisha tunzo maalumu ya uongozi bora barani Afrika kwa hisani ya hayati Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi...
-
Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Oct 26, 2018 04:45Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.
-
Vikao vya Bunge la Afrika vyaanza mjini Kigali Rwanda + Sauti
Oct 22, 2018 13:32Bunge la Afrika limefungua kikao chake cha wiki mbili mjini Kigali Rwanda ambapo kwa muda wa wiki mbili wabunge wake watajadili mambo kadhaa kuhusu demokrasia,uongozi bora na kurahisisha mafungamano ya biashara baina ya waafrika wenyewe. Ni kikao kilichofunguliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.
-
SAUTI, Waliohusika na mauaji ya kimbari ya 1994 nchini Rwanda sasa kuanza kusakwa kwa udi na uvumba
Oct 16, 2018 14:33Bunge la Rwanda limeanzisha zoezi la kuihoji tume ya taifa ya nchi hiyo inayoshughulikia faili la mauaji ya kimbari ya 1994, juu ya idadi kubwa ya watu waliokutikana na hatia ya mauaji hayo na kukwepa mkono wa sheria.
-
Ubelgiji yakubali kuirejeshea Rwanda sehemu ya utajiri wake wa kihistoria + Sauti
Oct 15, 2018 23:31Kwa mara ya kwanza Ubelgiji imekubali kuirejeshea Rwanda baadhi ya nyaraka na turadhi za kihistoria za kabla, wakati na baada ya ukoloni. Ubelgiji ni moja ya madola ya Ulaya yaliyozikoloni kidhulma nchi za Afrika na kupora utajiri mkubwa wa nchi za bara hilo. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi
-
Hadithi ya Uongofu (129)
Oct 12, 2018 05:46Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda kwa kushirikiana na UNHCR zimeanza kuwapatia wakimbizi vibali vya kusafiria nje ya nchi
Oct 11, 2018 12:44Kwa mara ya kwanza serikali ya Rwanda imeanza kutoa vibali vya kusafiria 'pasipoti' kwa wakimbizi wote walioko nchi hiyo.
-
Chama cha FDU-Inkingi nchini Rwanda chakataa taarifa ya serikali kuwa kiongozi wa chama hicho ametoroka jela
Oct 09, 2018 13:00Chama cha upinzani cha FDU-Inkingi nchini Rwanda kimepinga taarifa ya serikali kwamba, kiongozi namba mbili wa chama hicho, Boniface Twagirimana, alitoroka jela kwa kuruka ukuta.
-
Mkosoaji mkubwa wa Rais Kagame wa Rwanda, Diane Rwigara aachiwa huru
Oct 05, 2018 11:54Vyombo vya Mahakama nchini Rwanda vimemuachia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo Diane Rwigara, ingawaje kwa masharti.
-
Ulimwengu wa Michezo, Sep 10
Sep 09, 2018 23:38Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa