Ubelgiji yakubali kuirejeshea Rwanda sehemu ya utajiri wake wa kihistoria + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i48826-ubelgiji_yakubali_kuirejeshea_rwanda_sehemu_ya_utajiri_wake_wa_kihistoria_sauti
Kwa mara ya kwanza Ubelgiji imekubali kuirejeshea Rwanda baadhi ya nyaraka na turadhi za kihistoria za kabla, wakati na baada ya ukoloni. Ubelgiji ni moja ya madola ya Ulaya yaliyozikoloni kidhulma nchi za Afrika na kupora utajiri mkubwa wa nchi za bara hilo. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 15, 2018 23:31 UTC