Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i49317-bunge_la_afrika_lamaliza_vikao_vyake_nchini_rwanda_sauti
Bunge la Afrika limekamilisha vikao vyake vya wiki mbili mjini Kigali Rwanda kwa kuanzisha tunzo maalumu ya uongozi bora barani Afrika kwa hisani ya hayati Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Nov 06, 2018 03:28 UTC